Charles Hilary ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu - Zanzibar

Mtangazaji Charles Hillary mtu mwenye uzoefu ndani ya nchi na kimataifa katika mashirika makubwa IPP MEDIA, BBC, DW, AZAM MEDIA chini ya wahariri wasimamizi nguli huku akiwa amezungukwa na waandishi habari wazoefu kwa kipindi chote nadhani anafaa ...

WASIFU :

Salama Na CHARLES HILLARY Ep 38 | MZEE WA BUSARA Part 2



Source: YahStoneTown

https://millardayo.com › tag › charle...
Charles Hillary – Millard Ayo TV

Kumbe Charles Hillary kaondoka BBC na kuamua kurudi nyumbani? Miongoni mwa watu ambao sauti zao zimesikika sana kupitia BBC London, ni

Amefaa kuliko Dr. Ayubu Rioba?
Hongera Sana tena sana kwa Charles Hilaray.
Hakika anastahiki kuwa Mkurugenzi wa mawasiliano Ikulu ZNZ.

ni Mwanahabari Nguli, mweledi asiye na majivuno wala roho mbaya.

Watanzania wote tunamtakia kila la heri ktk majukumu yake mapya.
Amefaa kuliko Dr. Ayubu Rioba?
 
Nitamiss sana kwny Habari UTV!
Ivona Kamunthu atam-misi zaidi yako.

Tayari Baruan Muhuza (Muha) amerithi kigoda cha Charles.

Wajumbe waliomtenda Hillary kwenye kinyang'anyiro 2020 sasa macho juu. Ukiziba riziki ya mtu kwa kufunga mlango isiingie itabomoa dirisha na kuingia. Riziki ya Charles Hillary imebomoa dirisha.

Taswira zote kwa hisani ya google.

1641049670043.png

Charles Hillary aliyechinjiliwa mbali na wajumbe kwenye kinyang'anyiro 2020. (Mimi ni BWANA Mungu wako nitakuketisha pamoja na Wafalme)

1641050013007.png

Kada wa chama aliyekuwa kwenye nafasi ya Itikadi na Uenezi Taifa na mmoja wa walioshiriki vikao vya uteuzi wa majina ya wagombea kwenye kinyang'anyiro cha 2020. Vikao hivi vilikuwa na uwezo wa kumvuta hata mgombea aliyekataliwa na wajumbe na akasimamishwa kugombea. (1Kor.1:20 Yuko wapi mwenye hekima? Yuko wapi mwandishi? Yuko wapi bingwa wa mjadala wa nyakati hizi? Je, Mungu hakufanya hekima ya ulimwengu huu kuwa ni ujinga? ) pia (Mungu Hutumia Vitu Vinyonge Ili Kuvipinga Na Kuviaibisha Vyenye Nguvu; Hutumia Vitu Vipumbavu Ili Kuviaibisha Vyenye Hekima) Mungu amemtumia Charles Hillary!

1641050081423.png

Mojawapo ya vikao vya juu vya chama vifanyavyo maamuzi yakiwemo yale ya kinyang'anyiro.

Charles Hillary naamini huo ni mwanzo tu, utastaafu kama ama Katibu Mkuu wa wizara, RC au Mkurugenzi Mkuu wa taasisi.
 
Inasemekana baba yake alikuwa rafiki na Rais Karume( Mkubwa). Maji hufuata mkondo, kama baba Yako anaurafiki na walima nyanya basi nawe utakuja kuwa mkulima wa myanya badae. Tuwaombe wazee wawe wanajiatach kwa marafiki wa maama
 
Sijamaanisha kua mara ya kwanza kumsikia ni wakati anatangaza mpira tu,

Hicho kipindi nimekisikia,na alikua anakipindi kingine akipenda kupiga nyimbo alizokua anaziita "Macharanga" au "Charanga" nyimbo fulani kama za Kimexico hivi,

Mimi ni Muhenga mkuu.
Machalanga si juzi tu hapa. Charles Hilary alianzia RTD ya kina Deborah Mwenda
 
Kwani jamaa ni Tiss?
Kama alikuwa mtoto wa Polisi unategemea nini mkuu? Ikulu hateuliwi mtu ambaye siyo wa system. Najiongeza kwamba hata DW huenda alikuwa anafanyakazi ya nusanusa, hii dunia kubwa hii.
Milioni Kumi kwenda juu,chanzo jamaa yangu Yuko pale mtangazaji.charles alikua mkurugenzi wa radio.habari kwenye TV alikua anasoma tu.
Mkuu, kwani Azam wana kituo cha redio pia?
 
Inasemekana baba yake alikuwa rafiki na Rais Karume( Mkubwa). Maji hufuata mkondo, kama baba Yako anaurafiki na walima nyanya basi nawe utakuja kuwa mkulima wa myanya badae. Tuwaombe wazee wawe wanajiatach kwa marafiki wa maama

Anza wewe kujiatach na watu wa maana kwa ajili yako na watoto wako.
 
Natamani 2025 tumpe Mh. Dr Hussein Mwinyi Bara kwa miaka 10.
Mkuu Zogwale,

Lakini duru zinasema Dr. Mwinyi ni Dr. Magufuli per se (replica) kwa SMZ (groomsman of the bridegroom) hivyo ukimtamani Dr. Mwinyi ni sawa na kumtamani Dr. Magufuli maana hapana tofauti kati ya Myahudi na Myunani.

Aidha, ikumbukwe hapo awali Dr. Magufuli alikuwa na ndoto za kuibadili Znz kbs kimaendeleo, ndoto ambazo amemrithisha Dr. Mwinyi ambaye sasa anaipeleka Znz viwango vingine kbs katika historia ya mapinduzi ya visiwa hivyo vya karafuu, mwani na vanila.

Inaaminika kwamba ifikapo 2025 chini ya Dr. Mwinyi, Wazanzibari watajikuta wanakosoa majira na nyakati kwamba ili Znz isingechelewa kimaendeleo Dr. Mwinyi alitakiwa kuwa rais baada ya Abeid Karume na siyo kipindi hiki.

1641128258047.png

Taswira kwa hisani ya google.
 
Kwanza nampongeza mkongwe wa habar Huyu, jemedari mwenye nyota zake za kihabar nchini Tanzania ndugu Charles Hillary naliona pigo kubwa kwa Azam Tv.

Yote kwa yote, hii nafasi ilikuwa ni ya yule marehem aliyekuwa kichwa,jabari la habar aliykufa baada kubuni kipindi kizur sana kupitia TBC 1. Mungu amweke mahali pena peponi.

Kongole kwa Rais wa Zanzibar kwa kutambua nafasi ya jabar Ili Mimi nilishangaa sana wanateuliwa sijui aniu sjui anwani wanaachwa hawa watu Asante Mwinyi kwa kuwaona.
Marin Hassan Marini toka ARIDHIO.
 
Back
Top Bottom