CHARITY NGILU’s fake degree exposed!Jirani kumbe na huko kwenu hii kitu ipo!!

Hizo taarifa umeleta kutoka kwa blog uchwara, hiyo tovuti huwa ina umbeya mtupu usiokua na mantiki wala tija.
Lakini pia ikitokea kuwa kweli, sitashangaa, maana mifumo yetu ya Afrika imewekeza sana kwenye vyeti alivyo navyo mhusika zaidi ya uwezo wa kufanya kazi zenyewe.

Sasa hapa Kenya, sheria imewekwa kwamba kila kiongozi hususan gavana lazima awe na shahada/degree. Sasa hiyo imepelekea kwa wengi wao kutafuta shahada uchwara kwa nguvu zote.
 
Back
Top Bottom