Charity boy na mwaka 2011 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Charity boy na mwaka 2011

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Expedito Mduda, Dec 28, 2010.

 1. Expedito Mduda

  Expedito Mduda JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2010
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 368
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Charityboy ni mwanajamvimwenzetu ambaye anafuatia kwa malaria sugu kwa kuandika vitu vingi vya aidha kuunga mkono hoja au kupinga hoja bila sababu za kufanya hivyo.
  Leo hii, Charityboy ameandika habari yenye kichwa cha habari "Hatuitaki Katiba ya Chadema". Sijui katiba ya CHADEMA inamhusu nini wakati yeye si mwanachama wa chama hicho. Hata hivyo baada ya kusoma mpaka kiasi fulani cha habari yake, niligundua kuwa anamaanisha "hatutaki katiba ya nchi ambayo CHADEMA wanataka".
  Huyu mtu mimi simfahamu lakini ningekuwa naye jirani, ningemwelimisha zaidi kuhusu mambo ya katiba ambayo si CHADEMA TU ILA WATU WENGI WANAITAKA.
  Nahisi Charityboy ni mtu ambaye amesoma chekechea akafahamu kuandika na akaishia hapo hakutaka kuendelea na shule hivyo hawezi kuchambua mambo.
  Nimejaribu kufuatilia habari nyingi za huyu bwana nimeona anapinga hoja za wenzake ila hatoi sababu.
  Namwomba Charityboy na Malaria sugu wawe wanatoa sababu ambazo zinatueleza ni kwa nini wanapinga hoja fulani.
   
 2. Jituoriginal

  Jituoriginal JF-Expert Member

  #2
  Dec 28, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 362
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Jamaa alitoroka wadi ya vichaa muhimbili. Ni mtu hatari kwa jamii.
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  Dec 28, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
 4. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #4
  Dec 28, 2010
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mimi huwa namkandia sana MALARIA SUGU ila Charity namuonea huruma maana haka katoto=CHARITy kaliokotwa kakiwa kametupwa jalalani na mamake sasa kakalelewa na HIzi CHARITY NGOs ndo kakapewa hilo jina sasa kalisoma mpaka la nne tu. Tukahurumie jamani!
   
 5. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #5
  Dec 28, 2010
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  watu kama huyo nyie ndo mnawapa kibri, wanaleta upupu halafu mnaanza kuchangia.
  dawa yao ndogo sana, ukikosea njia ukasoma post yake, ukipenda endelea kuisoma hadi mwisho ili ujue amekuja na nini, ama la ukishajua kwamba ni yule yule wa upupu unaishia hapo hapo bila ku-comment.
  Akishaona hakuna mtu anaye-comment kwenye sredi zake atatia akili tu mwenyewe.
   
 6. c

  chechekali Member

  #6
  Dec 28, 2010
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 33
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Huyu jamaaa anamatatizo sana,tumsamehe nahisi ki umri ni mkubwa but bao anautoto.
   
 7. D

  DENYO JF-Expert Member

  #7
  Dec 28, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 699
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ni rafiki yangu nilimshauri asifanye kazi ya kishenzi kupinga hoja za ukombozi yeye akasema hana hela na ameahidiwa post 1000 mitandao na blogs tofauti dola 200. Lakini mi nilikataa hiyo kazi-target kubwa chadema -ndio maana utamuona mara kadhaa anajifanya chadema mara kadhaa mwanaharakati mara kadhaa inaonekana wazi huyu katumwa. Ataacha tuu
   
 8. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #8
  Dec 28, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135  Huyu ni Mtoto
   
 9. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #9
  Dec 28, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Hizo mada zote kazianzisha siku moja!!
  katika jukwaa moja!!
  Pengine yapo maslahi binafsi anayapata kutokana na pumba anazoandika huwezi jua, mjini hapa!!
   
Loading...