Charis Camp Meeting Morogoro

Urban86

JF-Expert Member
Jan 26, 2014
276
127
Unataka kukua kiroho?
Unatamani kufika katika kambi bora kabisa la kujifunza Neno la Mungu?
Njoo jiandikishe inbox mapema sasa usikose nafasi...
Kambi la kuweka alama katika maisha yako!
Kambi la kugeuza fikra zako kwa habari ya mambo ya Mungu...
Ni katika msisitizo wa Neno katika kina na Roho...
The Supernatural flow of the Spirit and power in epignosis
Clarity and accuracy!
Maswali yako yote yatajibiwa...
Kwa habari ya wokovu
Kwa habari ya karama na utendaji wake etc..

Utakosaje hii??!
IMG-20220215-WA0006.jpg
 
Utakosaje hii??!View attachment 2138207
Kama umeisikia na kubarikiwa sana na Christo-Centric Gospel yaani Ujumbe wa Kristo ambao ni wokovu kwa neemaa kwa njia ya imani katika kufa na kufufuka kwa Kristo Yesu huwezi kuendelea kubakia tuu mwanafunzi wa kwenye mitandao. Hakuna mwanajeshi anajifunzia mtandaoni ndio maana wanawekwa kambini

Kanisa la Kainos Creation Church ni familia sahihi ambayo wewe mwamini umepewa na Mungu upate kuwa na kina zaidi katika fundisho hilo hilo kusudi ujengwe, uonywe, usahihishwe, uadibishwe na kukamilishwa kutenda kila tendo jema.

Fanya maandalizi yako mapema ujumuike nasi katika kambi hii bora kabisa.

Baba Amekubariki sana!
 
weka mambo ya msingi rafiki angu,kambi iko wapi? inahusisha watu gani? utaratibu wa chakula,malazi na usafiri upoje? ni mambo yapi yanaenda kujadiliwa na kufanyika huko?
 
weka mambo ya msingi rafiki angu,kambi iko wapi? inahusisha watu gani? utaratibu wa chakula,malazi na usafiri upoje? ni mambo yapi yanaenda kujadiliwa na kufanyika huko?
Kambi itafanyika Morogoro sekondari. Ni kwa watu wa rika zote na dini zote. Chakula na malazi mshiriki atachangia sh 30,000 tu kwa siku zote 4. Mada kuu ni NENO KATIKA KINA NA ROHO.
Karibu sana.
Namba za simu zipo kwenye tangazo la picha la mwanzo kabisa
 
Marekebisho kidogo ya tarehe.
Fanya kunijulisha ushiriki wako
IMG-20220305-WA0015.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom