Character yupi wa Prison break alikuvutia?

Sogo aliona bora afe kuliko kuwachoma wenzake. Maana mwanzo aliwahi wachoma akiwa gerezani. Malipo yake alipata mteso
Bellick alimfanyia unyama sana yule kumweka selo 1 na lile jamaa Big baada ya kumpa info za kina Michael kuchimba kule store Bellick kwenda anakuta hola , akamsacrifice dogo dogo akawa wife wa jamaa, badae akaona isiwe tabu akamchana kiwembe Biggie cha Pu**u

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
mfano mimi nimeiangalia 2006 wakati nasubiri matokeo yangu ya kuendelea na masomo...tena sio cd ilikuwa ni kwa pc...bro wangu alikuwa na movie za series na single kama zote...mfano wa single move ilikuwa hell raise,saw,wrongturn 1,the bat,drag me to hell n.k kibongo bongo ilikuwa kanumba inaitwa deception sijui..(hapo sijataja za vibanda umiza kama deadly herous,prey,earstern condors,drive n.k)
Jamaa anafikiri kila mtu kapitia maisha aliyopitia yeye

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Mwamba
Theodore Bagwell
T-bag-2.jpg
 
Alichonichekesha huyo jamaa ni alivyokuwa polisi alikuwa mbabe kwelikweli na alikuwa anawaonea Sana wafungwa ila baada tu kuondolewa polisi alikuwa mpole Kama pilitoni akawa anaonewa mpaka na T-bagwell.
**** somo hapo mkuu...
 
Yule black ambae ukimpa siri ANAKUUA na GRECHEN
Aligeuka yule dogo wa kichina wa IT akamwambia." Dogo maisha yangu, najua kulipwa tuu, sijawahi kulipa"....huyo black anapatika na kwenye season ya black lighting....
 
Benjamin Franklin halisi ni mmoja kati ya waasisi wa Taifa la Marekani na hujulikanama kama Baba wa Taifa hilo, japo hakuwahi kuwa Rais wa Marekani.

Sasa picha yake hutumika kwenye noti ya Dola 100 nchini Marekani.

Ndio maana Benjamin Franklin wa Prison Break akajiita jina la utani C-Note yaani Noti ya Dola 100, ile C ni sawasawa na 100 kwa kirumi.
Kinachosikitisha kwenye series ys 9-1-1 C - Note ka - act shoga tena kaikimbia familia kamfata msela dah
 
Wakati bellick anaenda kupigana nae kakosa zile dawa alizotegemea zitamsaidia ashinde nilicheka sana, kafuata anaambiwa twende ukapigane abasema hakumaanisha sami, akakanyoonyeshea kidole kazee kamoja hivi hahahha

Sent using Jamii Forums mobile app
Alipomfata Sammy kuomba match alimdiss kuwa ana " Ugly Mustache " alivokosa zile dawa kuwaambia wale washkaji kuwa hakumaanisha Sammy yule ni kale kazee wakamjibu huyu mzee hana "Ugly Mustache" wakampeleka ulingoni
 
Back
Top Bottom