Character yupi wa Prison break alikuvutia?

T-Bag aliambiwa na Bellick kwamba wewe ulizaliwa baada ya babako kumbaka dadako T Bag ambaye alikuwa anaumwa "Down Syndrome" ndio ukazaliwa T-Bag.

Mbaguzi lakini alikuwa smart.

"Captivity of negativity" moja kati ya speech kali aliyoitoa inaniispire.
We are captives of our own identity, living in prison of our own creations. "Captivity of negativity -T bag

Jamaa alipendezesha sana PB

...
 
Kuna yule dogo mmoja aliuawa na Alexander Mahone season 2. Sikumbuki alikuwa anaitwa nani ila baada ya kutoka fox river yeye alikuwa akivaa cap iliyoandikwa "S" yaani stealer, huko ya genius wao ikiandikwa "C" yaani clever.

Huyu dogo alikuwa akinikosha sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Anaitwa David "Tweener" Apolski.. alipigwa nyundo 5 akaingia fox penitentiary kwa kosa la wizi wa mali za watu na kuuza.. Grand Larceny..

Risky 2X
 
" Stand By Your Glasses Steady And Drink To Your Comrade's Eyes Here's a toast to the dead already and hurrah for the next to die."

Mnyama T - Bag



Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom