Character yupi wa Prison break alikuvutia?

Papaa Gx

JF-Expert Member
Oct 10, 2016
8,319
2,000
Ile ongea yao ilikuwa inanikosha sana, mfano yule nigga alikuwa anamuita yule mzee "old head". Ila T Bag anafurahisha sana kumtizama, session 1 Kuna sehemu walikuwa wanachimba shimo ili kufikia bomba la chini sasa mlinzi alikuwa T Bag kwa mbali akawaona polisi wanakuja. Ikabidi akatoe taarifa kwa wenzake, ile swaga aliyo enda nayo ilifurahisha sana na jinsi alivyo tamka neno "Bulls"
 

Capital G

JF-Expert Member
Jul 2, 2017
1,798
2,000
" Stand By Your Glasses Steady And Drink To Your Comrade's Eyes Here's a toast to the dead already and hurrah for the next to die."

Mnyama T - BagSent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 

Capital G

JF-Expert Member
Jul 2, 2017
1,798
2,000
Sogo aliona bora afe kuliko kuwachoma wenzake. Maana mwanzo aliwahi wachoma akiwa gerezani. Malipo yake alipata mteso
Bellick alimfanyia unyama sana yule kumweka selo 1 na lile jamaa Big baada ya kumpa info za kina Michael kuchimba kule store Bellick kwenda anakuta hola , akamsacrifice dogo dogo akawa wife wa jamaa, badae akaona isiwe tabu akamchana kiwembe Biggie cha Pu**u

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 

Capital G

JF-Expert Member
Jul 2, 2017
1,798
2,000
mfano mimi nimeiangalia 2006 wakati nasubiri matokeo yangu ya kuendelea na masomo...tena sio cd ilikuwa ni kwa pc...bro wangu alikuwa na movie za series na single kama zote...mfano wa single move ilikuwa hell raise,saw,wrongturn 1,the bat,drag me to hell n.k kibongo bongo ilikuwa kanumba inaitwa deception sijui..(hapo sijataja za vibanda umiza kama deadly herous,prey,earstern condors,drive n.k)
Jamaa anafikiri kila mtu kapitia maisha aliyopitia yeye

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 

Papaa Gx

JF-Expert Member
Oct 10, 2016
8,319
2,000
Ukaamua utumie jina lake kabisa
Hakuna aliekua anamuweza huyu Nigga mzee

Mahone alimkuta tayari ashashikwa na Don Self na alikua ashapigwa ameshachoka ndio akaingia kumtesa

Nigga alikua mambo mengine kabisa....

Kwanza msenge ni mrefu hatari,6"9 hivi....mpana kama ukuta,halafu yupo serious na kazi,very smart,na anajua kazi yake very serious!

Zile suti ni balaa.......ukikutana nae kwa lile umbo lazima uogope mamaeee!

Nigga Wyatt Mathewson!
 

Gwele

JF-Expert Member
Jun 7, 2016
1,308
2,000
Mwamba
Theodore Bagwell
T-bag-2.jpg
 

Juma chief

JF-Expert Member
Jun 6, 2016
2,696
2,000
Alichonichekesha huyo jamaa ni alivyokuwa polisi alikuwa mbabe kwelikweli na alikuwa anawaonea Sana wafungwa ila baada tu kuondolewa polisi alikuwa mpole Kama pilitoni akawa anaonewa mpaka na T-bagwell.
**** somo hapo mkuu...
 

Juma chief

JF-Expert Member
Jun 6, 2016
2,696
2,000
Yule black ambae ukimpa siri ANAKUUA na GRECHEN
Aligeuka yule dogo wa kichina wa IT akamwambia." Dogo maisha yangu, najua kulipwa tuu, sijawahi kulipa"....huyo black anapatika na kwenye season ya black lighting....
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom