Richmoto Kushmoto
JF-Expert Member
- Jan 18, 2021
- 549
- 557
Embu character gan unamkubali humu katika series ya See
mimi binafsi namkubali tamactic jun (witchfinder ) na Baba Voss
Hii ni moja ya series bora kabisa ila yule queen alipomwambia harlan kneel down before ur queen jamaa akafurah sana
Naenda taratibu niko S02 Now