boga la kiangazi
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 504
- 662
sina kumbukumbu ya kula ila hua ni ugali na hua ni ndoto yenye kujirudia japo hua inachkua muda mrefu adi kujirudiaunakumbuka aina gani ya hicho chakula? Halafu uliwahi kukila ?
sina kumbukumbu ya kula ila hua ni ugali na hua ni ndoto yenye kujirudia japo hua inachkua muda mrefu adi kujirudiaunakumbuka aina gani ya hicho chakula? Halafu uliwahi kukila ?
Hahaha ah hapana don't take it serious, muulize last time aliota kitu gani , halafu dalili za kudukuliwa rejea Uzi utaalam wanaotumia wachawi katika kuumiza watu.Hapo utaweza kuona namna gani wanafanya .walivyo anza kukudukua na ww ulikua unaota hivyo, ..?? maana rafiki yangu ndo analo hillo tatizo, kama walianza hivyo nambie nmshauri awai maombi asije kua gwiji la kudukuliwa kama ww
Inaonesha maisha yake huko alipo namna alivyo, unajua sababu ya kifo chake? Halafu mavazi anayojitokeza nayo usingizini yakoje chakavu au mapya?Je ukiota upo na mtu ambaye alishakufa lakini kwenye ndoto unamuona hajafa mpo kama zamani maanake nn?
Umesoma lakini Uzi wote au ulisoma heading tu ,nahisi kama nimeeleza au kama hayo maelezo hayo directly basi ukimaliza kusoma Uzi wote chapter 001 utaweza kufaham hio maanaUkiota umelala mara inaingizwa maiti ndani chumbani ulikolala na inalazwa kitandani ulipolala na unaiona kama ni mtu uliyekuwa unamfaham ila hujumbuki ni nani, na hapohapo anafumbua macho kama kafufuka vile, maana ya hii ndoto ni nini?
aisee noma mkuuYani wakati naisoma hii siredi ya kufakufa kuna mtu kanambia anahisi kufariki, daaah basi karoho kakanienda mbio sanaView attachment 1180936