Chapel of Evora, Portugal: Tazama maajabu moja ya kanisa huko Portugal lililojengwa kwa mifupa ya mamilioni ya watu

Mkiambiwa hizi dini nyemelezi za kigeni ni ushirikina mtupu mnatishia kutukata vichwa. Hakuna taasisi chafu na za shetani kama hizi za kidini zinazoahidi pepo wakati zikiwafanya waumini wake waishi jehanamu
 
Ulijuaje anasali huko.Unajua,wachawi ndio wanaotupaga taarifa kwamba mtu fulani ni mchawi baada ya kukutana vilingeni.Sasa mnakutanaga huko nini?
Mtu ameandika question sentence wewe unaifanya statement sentence uko timamu kweli?
 
Ulijuaje anasali huko.Unajua,wachawi ndio wanaotupaga taarifa kwamba mtu fulani ni mchawi baada ya kukutana vilingeni.Sasa mnakutanaga huko nini?
Mtu ameandika question sentence wewe unaifanya statement sentence uko timamu kweli!?
 
Mkiambiwa hizi dini nyemelezi za kigeni ni ushirikina mtupu mnatishia kutukata vichwa. Hakuna taasisi chafu na za shetani kama hizi za kidini zinazoahidi pepo wakati zikiwafanya waumini wake waishi jehanamu
You are deadly wrong.Sio concepts zote za kidini ni mbaya.Lazima utambue kwamba yupo Mungu na Lucifer,and these are opposing spirits,but Lucifer was created by God.So zipo dini ambazo ni for Lucifer,a being created by God, as I have already pointed out na ambazo ni for God.
 
Wasabato bhana
Mimi sio Msabato,lakini ni kweli huwezi kutenganisha Ukatoliki na ushetani.Pope Francis ni a Jesuit,an underground society sawa na Freemasons,so what do you expect!Infact most of Catholic top clergy is masonic!Yanayoendelea Vatican (kwenye basement) ni aibu kwa dhehebu linalosema linamuamini Bwana Yesu. Ngoja tunyamaze.
 
Mimi sio Msabato,lakini ni kweli huwezi kutenganisha Ukatoliki na ushetani.Pope Francis ni Jesuit,an underground society sawa na Freemasons,what do you expect!Yanayoendelea Vatican ni vigumu kuyasimulia,ngoja tunyamaze.
Wewe umebobea kwenye theory za kipumbavu
 
Wewe umebobea kwenye theory za kipumbavu
Unajua mkuu,it seems my knowledge is way above yours,ndio maana hunielewi.

Anyway,nashangaa kwamba ukweli unauita upumbavu!The truth is,wewe ndiye mpumbavu, unayeshidwa kuona mambo ambayo yako so obvious.Dhehebu litaamuaje kuingiza imani ambazo haziendani kabisa na Biblia,halafu at the same time lidai kwamba linamuamini Kristo?Which Christ.Mimi niwe mkweli tu,mtu utakuwa kipofu sana wa kiroho kuamini kwamba ni Mkiristo na huku ukiwa Mroma!
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom