Napenda sana chapati

Lizzy mi chapati nakulaga ila sizipendi sana, na zaidi nnopenda kula mimi ni zile za unga wa atta(brown flour).
Ama chapati za maji(za upawa) apo ata 10 nafyeka tena kwa asali tu bila hata mboga yoyote.
Kwa wanaojua kula wanakwambia chapati za kusukuma mwenziwe supu ya kuku wa kienyeji na chai ya maziwa iloungwa kwa fresh vanilla.
 
Angel Nylon angalau unapenda za maji. Zile ie napenda kupikia watu wengine tu ila kula sipendi. . .
Kuna mtu mmoja tu alikua akipika nakula na kipindi hicho nilizipenda sana ila tangu afariki hataaa sitamani.

Alafu hizo za brown sijawahi kula. . .nazo ni nzuri?
 
Last edited by a moderator:
oyaaaa mama chiku fanyaaa..chapatii nne+marange ya kushibaa afu na chai ya maziwa big cup faster mamaa
 
Nitakumisije 12th to 15th? Nitunzie best wangu konnie,byeeeeeee ngoja niingie shimoni kariakoo nikamnunulie babu yangu ugoro.

We kwani vinanii vyako kimeo sana? Mie nna uhakika wa kuwepo.
 
Angel Nylon angalau unapenda za maji. Zile ie napenda kupikia watu wengine tu ila kula sipendi. . .
Kuna mtu mmoja tu alikua akipika nakula na kipindi hicho nilizipenda sana ila tangu afariki hataaa sitamani.

Alafu hizo za brown sijawahi kula. . .nazo ni nzuri?
Za unga wa atta, ule wanaita ngano nzima.
Yani km hazijachakachuliwa kivile. Tena ukiupikia chapati za kusukuma hautaki hata maguvu, ukikanda kdg tu, chapati laini.
Na kweli za maji zinataka ujuzi, mtu anaweza kufkiri rahisi rahisi tu kupika lkn nyengine huwa mazito ayo, km ya ufuta.
Za maji raha yake ziwe nyepesi tena zikolee mayai na pilipili manga, utavimbiwa
 
Last edited by a moderator:
Lizzy karibu hii ndo menu yangu ya usiku na supu ya kuku wa kienyeji nimeandaa mwenyewe nashushia na ....
kwa raha zangu
 
Last edited by a moderator:
Msije tupikia chapati ngumu kama ngozi tu.

Hahahahah. . . mama acha visa? Kuna wengine hua wanakula huku wakijilamba ila wakimaliza ndio wanaanza. . .'ohhh zilikua ngumu' 'mara zilizidi chumvi' . . .

Angel Nylon
Nimekupata mwaya. . . nikiweza na mimi ntajaribu huo unga ambao haujakobolewa.
 
Last edited by a moderator:
Lizzy karibu hii ndo menu yangu ya usiku na supu ya kuku wa kienyeji nimeandaa mwenyewe nashushia na ....
kwa raha zangu

Jamani mama wa kwanza. . . asante kwakunitamanisha. Natamani ningekuwa jirani yako. . .
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom