Napenda sana chapati

Kila ninapoishi lazima kuwe na ndoo nimepanda mchai chai, miti angalau 3 ya mipapai, na kuku hata 10 tu lol.

Hahaha. . . kumbe ndio ujanja wako ehhhh? Niruhusu nikuige mazingira yakiwa yanaruhusu.
 
chapo ni tamu upate na mchuzi wa nyama na chai ya maziwa iliotiwa hiliki na tangawizi
 
napenda sana chapati, lakini na ujuzi wangu woooooooote wa uishi bado siwezi kuzipika, hata nifanyaje zinatoka ngumu
 
Bishanga shughuli yake naifahamu. . .siku nikipika lazima naniii awepo ili massage iweke kiuno na mgongo sawa.

Unacheza wewe,mambo ya chapati magumu sana,sio kama mandazi ambayo unatumbukiza tu,mapishi ya chapati shurti iive pande zote ati.
 
chapati is one of my favorite food....hasa ikipikwa ile vizuri..aliyegundua kutengeneza chapati namsifu alikua very creative...
 
Lizzy hapo kwenye chapati shurti nizungumze...nazipendaje!..haswa zile za kusukuma,ila mapishi yake...mm hoi...zachomwa mbele na nyuma...ebana niliwahi kula chapati zenye kurasa kama 70 hivi!...
 
Last edited by a moderator:
Unacheza wewe,mambo ya chapati magumu sana,sio kama mandazi ambayo unatumbukiza tu,mapishi ya chapati shurti iive pande zote ati.

Bishanga we unadhani kwanini nanii ananipenda? Ndo mambo kama hayo mwanamke nayawezea.
 
Last edited by a moderator:
Lizzy hapo kwenye chapati shurti nizungumze...nazipendaje!..haswa zile za kusukuma,ila mapishi yake...mm hoi...zachomwa mbele na nyuma...ebana niliwahi kula chapati zenye kurasa kama 70 hivi!...
Hahahaha. , zinachambukaaaaa mpaka unajiskia raha kula ehhh?

mtotowamjini sifa ziwaendee pia wanaoendeleza utaalam aisee. Nshaamua kesho napika (kidole nadhani kitakua kimepona) tena kwa mchuzi wa kuku. Msikaribie.
 
Last edited by a moderator:
mtotowamjini sifa ziwaendee pia wanaoendeleza utaalam aisee. Nshaamua kesho napika (kidole nadhani kitakua kimepona) tena kwa mchuzi wa kuku. Msikaribie.

:biggrin1: mh mh mh chapati na mchuzi wa kuku wow...utengeneze pia na maharage aisee...dah M-PESA ingekua inakubali kutuma na chakula pia ningekuomba unitumie :happy:
 
kuna chapati nilikula pale UCHUMI SUPERMARKET quality centre ni nzuri sijapata wahi kuona!wadau mkaribu mnipe majibu
 
:biggrin1: mh mh mh chapati na mchuzi wa kuku wow...utengeneze pia na maharage aisee...dah M-PESA ingekua inakubali kutuma na chakula pia ningekuomba unitumie :happy:
Hahahaha. . . ingebidi utume pesa kwanza.

Alafu na hivi mvua inanyesha. . . ni mwendo wa kutulia tu ndani na kukarangiza taratibu. HHHmmm na maharage yawe ya nazi. . . we we we!!Watu watajilambaje kesho.
 
Back
Top Bottom