Chaos and more chaos in Parliament during questions to the President

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
wabunge wanahoji spika anatoa wapi mamlaka ya kuhoji watu?
yaan kwa taarifa yenu mpaka huyo CAG ataitwa kujibu mambo maana aliacha mkuu akachafuliwa na malipoti hayo, ushauri huo unatoka kwa kamati ya safisha mkulu ikiongozwa na kijana mmoja wa maeneo ya kati kato
 
mayalla mwingine hongera kwa forecast ya uhakika
 
mkuu britanicca umepotea sana, hizi zama za watu kuokotwa kwenye mitaro huko kijitonyama zinatia hofu. Itapendeza ukitia neno

Mkumbushe Britanica na zile maiti zilizookotwa kokobeach kwenye viroba. Ndo taswira ya TZ CCM wanayoijenga? CCM inajinasibisha na kuua watu wasio na hatia? Hatari.
 
Back
Top Bottom