Chanzo cha wanawake kuwa magogo kitandani ni hiki hapa

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,587
215,182
1542333966000.jpeg

Msilalamike kuwa wanawake wame kuwa magogo, hata kile kinu amacho ndiyo manikin kule unyago hakina uzito huu.
Msimtafute mchawi jiangalieni hali zenu kwanza.
 
WALA SIONI CHANZO CHAKE HAPO. KAMA MTU UNALIPA KWA NINI USIJISHUGHULISHE? WANAUME WANALIPIA HUDUMA NZURI. haijalishi wao wakoje..so la msingi hapo ni kuchangamka..kesho uje kusema mwanaume bahiri kumbe ni sababu ya ugogo wako kitandani.
 
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai,hapo mwanamke akipagawa wala huo uzito hatouona,usicheze na feeling.
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom