Chanzo cha matatizo ya nchi hii ni Nyerere

Molembe

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
9,817
11,485
Matatizo yanayotukumba kwa sasa, ombwe la kiuongozi tulilo nalo kwa sasa chanzo ni mwalimu Nyerere, ni mwalimu huyo huyo aliona katiba yetu ni mbovu lakini hakufanya chochote kuibadilisha aliishia kusema tu.

Mwalimu Nyerere alikuwa nafasi ya kuifanyia mabadiliko katiba yetu ili hata siku tukipata kiongozi asiwe mungu mtu, kitendo cha kuiacha katiba mbovu ametuachia matatizo makubwa, yale aliyoyanena yanatokea kwa sasa.

Ni katiba imetufikisha hapa rais anapewa madaraka makubwa mno, yeye huyo huyo anaweza kufanya kazi ya mahakama, kazi ya bunge na serikali, rais anateua kila nafasi kubwa tena ana uwezo wa kuteua mtu yeyote bila kuhojiwa na yeyote, hebu fikiria rais anateua mwenyekiti wa tume ya uchaguzi,wakurugenzi wa tume, na hata wakurugenzi wa majiji,manispaa,miji,na wilaya, ambao wanasimamia uchaguzi.

Imefika mahali rais amekuwa mungu mtu, hakosolewi kwa lolote, hasemwi kwa lolote akisema hapingwi kwa lolote, ukifanya hivyo wanasema umemtukana na unakamatwa kwa uchochezi, tumekuwa taifa la kusifia na kupongeza hata kama huoni chochote kinachofanyika, sababu kubwa ni katiba iliyompa madaraka makubwa.

Kitendo cha mwalimu Nyerere kuliona hili na akakaa kimya alitusaliti watanzania na kutuacha kwenye matatizo makubwa, ni sawa baba kumuona nyoka mkubwa ameingia chumbani kwa watoto wako baadala ya kumtoa unaishi kusema ipo siku huyo nyoka atawang'ata.
 
FB_IMG_15717649081572766.jpg
 
Nyerere ni binadamu Kama wengine nae anamapungufu,aliyoyafanya yanatosha.. jiraumuni kuwa vilaza na si chengine.
 
Matatizo yanayotukumba kwa sasa, ombwe la kiuongozi tulilo nalo kwa sasa chanzo ni mwalimu Nyerere, ni mwalimu huyo huyo aliona katiba yetu ni mbovu lakini hakufanya chochote kuibadilisha aliishia kusema tu.

Mwalimu Nyerere alikuwa nafasi ya kuifanyia mabadiliko katiba yetu ili hata siku tukipata kiongozi asiwe mungu mtu, kitendo cha kuiacha katiba mbovu ametuachia matatizo makubwa, yale aliyoyanena yanatokea kwa sasa.

Ni katiba imetufikisha hapa rais anapewa madaraka makubwa mno, yeye huyo huyo anaweza kufanya kazi ya mahakama, kazi ya bunge na serikali, rais anateua kila nafasi kubwa tena ana uwezo wa kuteua mtu yeyote bila kuhojiwa na yeyote, hebu fikiria rais anateua mwenyekiti wa tume ya uchaguzi,wakurugenzi wa tume, na hata wakurugenzi wa majiji,manispaa,miji,na wilaya, ambao wanasimamia uchaguzi.

Imefika mahali rais amekuwa mungu mtu, hakosolewi kwa lolote, hasemwi kwa lolote akisema hapingwi kwa lolote, ukifanya hivyo wanasema umemtukana na unakamatwa kwa uchochezi, tumekuwa taifa la kusifia na kupongeza hata kama huoni chochote kinachofanyika, sababu kubwa ni katiba iliyompa madaraka makubwa.

Kitendo cha mwalimu Nyerere kuliona hili na akakaa kimya alitusaliti watanzania na kutuacha kwenye matatizo makubwa, ni sawa baba kumuona nyoka mkubwa ameingia chumbani kwa watoto wako baadala ya kumtoa unaishi kusema ipo siku huyo nyoka atawang'ata.
Mbaazi ikikosa maua huwa inasingizia jua
 
Bavicha mmeanza tena kumvunjia heshima Baba Wa Taifa. Taifa halijasahau matusi ya Lissu dhidi ya Baba Wa Taifa
 
Haya matatizo tunayaendeleza mimi, wewe na wengine kwa sababu ya kujipendekeza, ujinga, uoga, unafiki na kutojitambua tulionao watanzania wengi, wewe, mimi na wengine tuanze kuchua hatua kwa kusema katiba hii hatuitaki kwa pamoja tunaweza​
 
JK ndiye wa kulaumiwa zaidi kwani alitumia mabilioni ya kodi zetu kwa kazi hiyo kisha akaitelekeza. Katuachia msala mzito sana.
 
Unasema Rais hakosolewi na ukimkosoa unakamatwa unatiwa ndani, acha tuone wewe ukiwa ndani sababu hapo umemkosoa tayari
 
Kosa kubwa ni kumsukumiza mtu aliyekuwa ana beep tuu.
Hakuwa na sifa za kuwa kiongozi mkuu hivyo hapakuwa na nafasi ya kumchunguza
 
Yale Matusi aliyaporomosha Tindu lissu dhidi ya Baba wa Taifa ni dhambi kubwa mno

Sasa hivi ameanza kumtumia for some references. Baba wa Taifa, yes had his shortcomings. But he never had a heart to betray Tanzania and his fellow countrymen. Ndio maana alijitoa 100% kusimamia ustawi wa Tanzania.
Tusimdharau. Enzi zile angeweza kutuuza tu kama angetaka
 
Duh!
Unawezaje kumsimanga marehemu asie na uwezo Wa kujitetea?
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom