Chanzo cha mafanikio kwa kila binadamu

MSDK pj

Member
Jul 17, 2021
10
29
UWEZO WAKO
✍🏿 SWALI KUU HIVI KWA NINI MO NA BAKHERSA WANAKUWA MATAJIRI WAO TU?

πŸ’§ MO na BAKHERSA ni binadamu kama sisi wana kila kitu tulicho nacho, walikuwa maskn kama sisi pengine mwanzo tuliwazidi uwezo lakin kwa nini saivi wanatuzidi?πŸ˜‡( hapa kichwa kinauma).

✍🏿 Ukimtizama Mo na BAKHERSA wana vichwa kama vyetu na wanafikiria kama sisi ila kwa nini tunakuwa tofauti duniani ?
πŸ™πŸ™ Naomba nijibu maswli yote kama utanipa ruhusa😁😁.

✍🏿 Mfano: Mimi na wewe tumenunua simu ya tekno yenye uwezo sawa tuchukulie K7 WOTE.

πŸ€·β€β™‚οΈ Hivi unajua wakati wa matumizi tutatofautiana? Mfnao mm naweza Kutengeneza matangazo kupitia CM ila wewe huwezi japo tuna Cm 1 😁😁😁

Unajua kwa nini wewe huwezi na Mimi naweza?

Jibu ni kwamba Mimi kwenye simu yangu nimeweka PROGRAMU ya kunifanya nitengeneze matangazo ila wew huja weka hiyo programu.

🎀Kama ukiweka programu ya kutengeneza matangazo basi na wewe utaweza.🀝🀝

πŸ–₯️ Haya hivi wajua binadamu ana ubongo na ubongo wake ndo unaratibu kila kitu? Na utambue kitu kama uja uambia ubongo kufanya kitu kitu hiko hakiwez kufanywaaaa!

Mfano : ukiamin kesho mvua ipo lazima utatoa nguo nje na kufanya maandalizi ya kujikinga na mvua kama bati limetoboka lazima utaliziba ilimradi tu usidhurike na mvua.

πŸ‘†πŸ½πŸ‘†πŸ½ Kabla hujaamini na kujiambia kesho mvua ipo ,ulikuwa hauangaiki na hivyo. Sikiliza vizuri Binadamu woote duniani tuna uwezo sawa kwan tuna ubongo sawa ila tunatofautiana kweny PROGRAMU tunazo ziweke kwenye vichwa vyetu.

PROGRAMU zilizomo kichwani mwetu ndo zinatufanya tuonekane tuko tofautiii
🎀 Wew kichwani umeweka programu ya kesho mvua inayesha na Mimi nimeweka programu ya mvua hainyeshi hvi Mimi na wew tutakuwa sawa kweny maandalizi ya kesho?

Mfn wa 2: wewe unaamini au umeweka programu ya kuwa mungu hayupo na Mimi nimeweka programu ya mungu yupo hivi tutakuwa sawa kweli?

😁😁😁 mfano WA 3 Mimi nimeweka programu ya kuwa Kuwa bilionea na wewe umeweka programu ya kuwa masikini hivi tutafanan kweli ?

πŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ Kumbeeee‼️ Akina Mo na BAKHERSA wameweka programu za kuwa mabilionea kichwani ndo maana wana kuwa tofauti na sisiπŸ€”πŸ€”

✍🏿 Utofauti wako wewe na Mo ni kwamba wewe kichwani mwako umeweka programu za kuto amini kuwa bilionea, kutojituma,kutobadili marafiki, kutojifunza,kuamini mafanikio ni mipango ya mungu, kuwa tegemezi na kadhalika.

πŸ’§ Unacho kuamin ndo kitakusaidia kama unaamin uislam wako utakusaidi siku ya mwisho basi utakusaidia kama unaatimi ukristo wako utakusaidia basi utakusaidia ndo maana kila kukicha upo Ibadan.

Ukiamini kuwa umasikini si wako unatakiwa kuwa bilionea basi utakuwa bilionea kila kukicha utakuwa waangaika huku na huku kuisaka mia na buku ilimradi uwe bilionea.

🎟️ wengi hatuwi mabilionea kwa sababu hatuamini kuwa mbailiionea hivyo basi uwezo wetu unaishia kufanya kazi kwa levo ya kumiliki laki au milioni.

✍🏿 Tafiti zinaonyesha binadamu wa kwanza duniani ametumia uwezo wake kwa 30% make alibakisha 70% ya uwezo wake.
Tanzania anajitahidi kutumia uwezo wake anafikia kuutumia uwezo wake kwa 1% 😁😁😁

πŸ‘†πŸ½πŸ‘†πŸ½πŸ‘†πŸ½ Hii ina maanisha kwamba sisi tuna uwezo mkubwa ila hatutaki kutumia.

πŸ™πŸ™ Ushauri wangu kwako kuanzia sasa hivi weka programu mpya kichwani mwako ,futa programu ulizo nazo .

πŸ§β€β™‚οΈ Programu tulizo nazo ndo jinatugea imani ya uoga, kutojiamin tunaweza,tutojituma, kukatishana tamaa na wengine mengi.
Mo marafki zake hawajaweka programu kama zako.

πŸ”₯πŸ”₯ Badili programu ,weka malengo ya kuwa bilionea hata kama huna mia weka.πŸ‘‡πŸ‘‡ kwa utakacho amini ndo hicho hicho ubaongoa unakifanyia kazi.

Ubaongo unapokea maelekezo ya kile unacho kiamini , na mwli unafanya kazi kulingana na ulivyo elekezwa KAMA MAFANIKIO YANGUKUWA NI ELIMU BASI WENYE PHD NDO WANGUKUWA MATAJIRI.

😁😁 hakuna PHD yenye bilioni duniani
By muswadiq mulshid
 
I don't know why but i find ridiculous reading post with shit tones of Emoji.
 
Back
Top Bottom