Chanzo cha kuchokana, kununiana katika mahusiano/ndoa na jinsi ya kukabiliana na tatizo hili

392082_409755155740153_1072069537_n.jpg
 
Watu wanapoanza mahusiano huwa kama vile ni nyuki wadogo waliogundua bustani nzuri ya maua. Lakini mwisho inafika siku hata kusikiana sauti zao inakuwa shida.

Hivi chanzo cha kuchokana hadi wakati mwingine kufikia kuombeana kifo ni nini hasa. Na kati ya wanaume na wanawake ni nani huanza kuwachoka wenzao!!?
 
kubwa zaidi linalosababisha wanandoa kuchokana ni kushindwa kuwa wabunifu katika maisha yao mara nyingi huwa wanaishi maisha yaleyale bila hata kubadilisha jaribu kidogo kama wewe ni mmoja wapo then utaona mabadiliko
 
Ubunifu gani unaowashinda maelfu ya watu!!
 
Haujatengenezwa wewe.ndio maana kule kwetu tanga demu akikupata tu fasta lazima akakutengeneze ili ukae kwenye mstari,ukiona ulimpenda sana baadae ukamchoka jua kuwa dawa zishaanza kwisha nguvu wala hajazi-renew.
 
Kuna mambo mengi katika hilo. Hivi ninavyoandika mimi na mwenza wangu kila mtu yupo chumbani kwake hakuna kusemezana. Ni mambo mengi yanapelekea kufikia hali hiyo. Sasa nikimuona mwanamke yeyote naona ni yale yale lakini nahitaji kupumua maana yamenielemea kupita kiasi.
 
Kuna mambo unaweza kuvumilia, lkn mengine hata kama unaroho ya kusamehe kiasi gani utachoka.
 
muhimu kutunza upekee wa chanzo cha mahusiano hadi kupelekea uchumba, ndoa ndo mambo yatakuwa vizuri. Iwapo kutakuwepo kusahau na kuona ndoa mazoea basi kila kitu kinaishia njiani na kuchokana haraka sana.
 
Kuna mambo mengi katika hilo. Hivi ninavyoandika mimi na mwenza wangu kila mtu yupo chumbani kwake hakuna kusemezana. Ni mambo mengi yanapelekea kufikia hali hiyo. Sasa nikimuona mwanamke yeyote naona ni yale yale lakini nahitaji kupumua maana yamenielemea kupita kiasi.

OMG pole,umeniumiza yani mimi ni mwepesi sana kujishusha kwa mume wangu,kama mke hawezi kujishusha jishushe wewe kuondoa kununiana.Tatizo la kaka zetu hampendi kubembeleza wake zenu,unajua wanawake tunapenda sana kudekeszwa/kubembelezwa,please usifanye hivyo mshike mkono sema nae.shemeji yako anapenda kununa nuna kama nyie hapo,lakini najisemeshaga na kujichekesha mpaka anakuwa normal,yani sipendi kununiana ndani mimi,pole shemeji!
 
1.NATIRIRIKA SASA .kuzeeka,maziwa kuwa ndala,kupata kilema,mbunye kutoa harufu,Kuishiwa nguvu za kiume,kutokuwa wabunifu,mmoja au wote kutokuwa mwaminifu,mmoja kuwa na tabia ngeni mfano ulalamishi,kuropoka,kubwata,kufumaniana,ugonjwa,kunenepa kupita kiasi,kukonda kupita kiasi,ulevi kupindukia,kufilisika,mbunye kuwa pana kupita enzi zile,kutokuwa na mabadiliko ya kimaisha miaka nenda rudi,ndugu kuingilia penzi lenu,kuzaa sana,kukithiri kwa umaskini n.k ni MENGI MNO AISEE SO UMEULIZA SWALI AMBALO LIPO TOO GENERAL COZ KILA MTU ANA SABABU ZAKE KUTOKANA NA YALE YANAYOMSIBU
2.wanaume wengi ndio wanaongoza kwa sababu tumewekeza mapenzi yetu kwenye muonekano wa nje badala moyoni so ikitokea badiliko dogo tu tayari tunachokana.
 
kama ungekuwa ni mtihani una 100 kwa 100.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom