Chanzo cha kuchokana, kununiana katika mahusiano/ndoa na jinsi ya kukabiliana na tatizo hili

kwa nguvu za MWENYEZI MUNGU tu haya yanawezekana otherwise tunapigia mbuzi gitaa SALA ni muhimu kwenye ndoa mengine yote ni matokeo ya sala za ulimi wetu
 
kwa hiyo unataka ndoa zidumu kama jiwe?. Mi ckubali kung'ang'ana kama jiwe. Lazima ubadiri radha.

Zoezi hilo la kubadili radha je litafanywa kwa jinsia zote mbili?

Hatari kwelikweli!
 
Everyone wants to be on top of the other mwanaume anataka awe juu ya mwanamke and at the same time mwanamke naye anataka awe na say juu ya mume waje
 
Everyone wants to be on top of the other mwanaume anataka awe juu ya mwanamke and at the same time mwanamke naye anataka awe na say juu ya mume waje

Mwanamke lazima awe chini iwe isiwe na kutafuta mbinu za kuweza kusikilizana na mumewe. Huku kutaka wote kuwa juu ndio kunakosababisha ndoa ziwe na matatizo
 
Hivi wadau hii imekaa vipi? Utakuta wapenzi au wanandoa wamenuniana hawaongei hata kwa wiki au miezi. Je hii ni aina ya tafakari ili kuchuja makosa yaliyotokea? Naomba mitazamo yenu
 
ni raha sana, tena mwaka ndo hunoga zaidi.
Ila fuata ushauri wa chauro hapo juu.
 
Haa.

  • A%20S%20embarassed.gif
    • :shock:

  • A%20S%20465.gif

Ndo manake!, haiwezi kuwa vicheko kila siku, siku nyingine inabidi iwe ngumu kumeza, inaleta afya upya.
 
Hivi wadau hii imekaa vipi? Utakuta wapenzi au wanandoa wamenuniana hawaongei hata kwa wiki au miezi. Je hii ni aina ya tafakari ili kuchuja makosa yaliyotokea? Naomba mitazamo yenu
nachokijua mimi kununa siyo suluhisho,ni vema kuvunja ukimya mkamaliza tofauti kisha mkasongesha ndoa yenu mbele katika hali ya upendo na amani. bimafsi naweza kuhama nyumba kwa kununiwa.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom