Chanzo cha kuchokana, kununiana katika mahusiano/ndoa na jinsi ya kukabiliana na tatizo hili

no name ..............kwa kweli nahisi kama identity yangu inafifia kila kukicha. mama nanii! no way.............i have a name call me by that or a nick name you made for me.

i might be a mama but i dont want it to be my only identity hasa kwa mpenzi wangu......


nyamayo ..............i like that. :D
 
na hili suala la kuitana baba fulani na mama fulani mnalichukuliaje nyinyi?!

mimi hicho kitu never .................namwita kwa jina lake ( or pet name ) na yeye aniite vivyo.

Masuala ya baba fulani hapana kwa kweli


yeah hapo naunga mkono hoja...ni kweli kabisa kuitana majina halisi ni poa sana.......:A S-heart-2:
 
kuna wakati mama alikuwepo home, alipockia nimemwita mtoto wake kwa jina lake alini mind sana, eti kwanini ucmwite hata baba au baba nanilii..khaa eti "baba"...hapo alinimaliza kabisa na aliendelea kuckia nikimwita kwa jina mpaka alivyojiondokea.
imekaaje hiyo ya kumuita baba? lollllllll
 
imekaaje hiyo ya kumuita baba? lollllllll

just bcoz anamckia mwanae ananiita "mumy" bac anataka na mie niite baba...khaa vitu vingine hata unasindwa kumjibu mtu esp mtu kama yeye (mama mkwe)
 
mie nadhani ni sexy kumuita baba nanii..... !!! :A S-heart-2:

mi nadhani ni sexy kutumia majina kama dear, darling, sweety, honey, mahabuba, mpenzi, jina lake halisi nk.....iluu mbona sijawahi kabisa wala hainijii kichwani?
 
noname .............baba naniii stinks of old age!

hahaaa very true
ila kiukweli ina-sound kizamni, me I love calling my SM baba nanihii pale napotaka ku-sound wa kizamani au mkubwaaaaaaaa lol!!
 
noname .............baba naniii stinks of old age!
haha Sasa G unaogopa ku feel old au nini sasa!!! ila labda it doesnt sound good...Baba Marya or mama Marya... but in my culture it shows some respect..actually ppl are proud to be called by their children names.... so he will be called like Abu Marya and she will be called Umm Marya... is it sound differently or the same? lollllllllllllllllll
 
no name hata uipambe kwa kiarabu na kiitaliano ..............it doesnt sit right! lol

kaa mtu wa zamani bwana!?!lol
 
just bcoz anamckia mwanae ananiita "mumy" bac anataka na mie niite baba...khaa vitu vingine hata unasindwa kumjibu mtu esp mtu kama yeye (mama mkwe)

mama wakwe na mawifi daima wanakuwa na competition sijui kwanini lakini!!! yani u r never good for their son or their brother.... hapo sasa!!!!
 
no name hata uipambe kwa kiarabu na kiitaliano ..............it doesnt sit right! lol

kaa mtu wa zamani bwana!?!lol

Hahahahah! Kuna jamaa mmoja alipopata mtoto wake wa kwanza, kazini kwao wanawake badala ya kumwita jina lake wakaanza kumwita Baba Upendo akawa anakereka mpaka anajibu ''Baba Upendo mwenyewe''!!!
 
mama wakwe na mawifi daima wanakuwa na competition sijui kwanini lakini!!! yani u r never good for their son or their brother.... hapo sasa!!!!

What it do? What it does? What da bizness is?

You talk too damn much....I may have to put a pacifier in your damn mouth if you don't shush....
 
Kuna tabia ya wanawake kununa au kutoongea na kumnyima unyumba mwenza wake kwa kipindi fulani pindi kunapotokea kugombana au kutoelewana

je ni kutafuta suluhisho au kuchochea kutoelewana zaidi?

Wanawake wengine wanatumia kununa kama njia ya kufanyiwa ka-ji shopping kadogo. Yaani akinuna ananuna mfululizo mpaka umnunulie japo handbag dah!
 
take it this way...umemuudhi na kumkasirisha kwa hiyo hapendi kushare anything with u tena mwili wake ndio kabisa.... badala ya kumuomba unyumba (or whatever u call it) itabidi muongee na umuridhishe kwanza...sio ujifanye hujui au hujali mwenzako anahisi nini...

Listen here Bumblebee, if you do that to me I'll sue your derriere for intentional infliction of emotional 'and mental' distress. So we will have everything court ordered....even 'loving' will be court odered.....:biggrin: You can't say no. I get to hit it when I want to....hip hip hooooray......
 
.............i have a name call me by that or a nick name you made for me.

You know I like giving my boo a bunch of pet names. To me you sound more like a 'Pooh Bear' or a 'Buttercup'.....but you could also go by 'Cinnamon'....lol
 
noname .............baba naniii stinks of old age!

hahaaa very true
ila kiukweli ina-sound kizamni, me I love calling my SM baba nanihii pale napotaka ku-sound wa kizamani au mkubwaaaaaaaa lol!!
Inaweza kuwa unaitwa darling lakini siku ukiharibu jina linachenji ghafla. Atakugombezaje huku anakuita mpenzi, na amenuna?
 
hivi wew umemkera mkeo na ukajua hasa kuwa kakasirika .................hata dakika tano nyingi unataka unyumba! serously unategemea afurahie hilo tendo?

kina baba mnawapa wanawake muda mgumu ..........akiwakatalia mtasema kanuna akiwakubalia itakuwa sawa na kuwa raped tu since akili yake bado iko kwenye hamaki na mwili wake upo off
unajua hicho kitu ni kweli ila sasa kwa nn wanawake hamtaki kusema kama mkikasirika mnaweka vitu moyoni na kununa mie kama kuna tatizo nataka lijadiliwe pale pale yaishe mambo ya kugombana asubuhi unakuja kupewa adhabu usiku ndio chanzo cha mtu kushinda baa na kukumbana na vishawishi vingine huko na kukuza kutoelewana na mkeo
 
Back
Top Bottom