Channel za HD zinatisha

Tonykp

JF-Expert Member
Dec 18, 2012
1,642
680
Wakuu naamini kabisa wengi wetu tuna tizama mpira kwa luninga na nizile channel za kwaida sasa embu jaribu HD channel nautaona tofauti yake...unacho hitaji ni decoder ya PVR
 
Hizi hapa:

HD_vs_SD.png
HD_vs_SD.png

Weka picha.
 
Back
Top Bottom