Channel ten mmewarusha ccm na cuf cdm vipi?

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,836
Wametangaza kuwa wagombea 3 wa uchaguzi mdogo wa zalinze wamerudisha fomu leo ambao ccm chadema na cuf lakini cha kushangaza wamemrusha hewani mgombea wa ccm na cuf tu bila kumpa nafasi wa cdm kwa nini hamja balansi habari?mnachuki gani na cmd huo sio weledi wa kiandishi jirekebisheni.
 
Hawajui kuna watu tutawaundia zengwe kwenye kampuni zetu wasipeleke matangazo huko yabaki ya serikali maana mimi huki nimeshaunda zengwe huku habari za jana wanaonesha leo wakati wenzao star tv na itv wameshaonesha jana yke.
 
hata mwangozi si walimkana..walipoona watanzania si hovyo..wakaanza jifanya kuwa nao wanataka rambirambi..na pole
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom