Channel Ten mbona mnaegemea upande wa polisi?

bravo ITV naona wamepata mwamko,these guys leo wameitangaza the incident thrice,japo walitaka kuipotezea(Godwin Gondwe hakuipotezea),na wakatoa views za pande zote mbili,which proves POLISI are wrong doers,na ndio walioanzisha fujo..........other media waige.....guys lets pray,mimi huwa naangalia news mara chache ila kwa taarifa ya habari ya leo,only 1 news update ndo ilikua peacefull,ile ya EL,,,,nyingine zote ni mabomu,migogoro,kesi,wizi,uvamiaji,,,,yaaccckkk,,,,The current system has to mend its ways,,,tumechoka,.,
 
Hizo Ndio TV zinazokumbatia Ujinga

colleagues!

siwezi kusahau matangazo ya channel ten wakati wa campaign za uchaguzi-channel ten ilitoa matangazo ya upotoshaji wa campaign za chadema. coverage za upotoshaji wa matukio ya Arusha zilifanywa kupitia kituo hiki. Hii haikubariki!
 
sasa kama ndo ukweli unataka waegamie wapi?
Ukweli tunaujua sisi tuliokuwepo katika tukio. Huyo ni mwongo tu, mzembe sana huyu. Risasi ya moto mu kichwa, sisi tunae tu mpaka mwisho wa safari yetu hapa duniani.
 
Safi sana polisi wametimiza wajibu wao wasingewazuia mngesema polisi legelege,umekataliwa maandamano kwanini uendamane?au ndo mnatekeleza kafara zenu hadi sasa cdm waneshatupotezea watanzania wanne bila sababu ya msingi
 
Back
Top Bottom