LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,348
- 3,219
Mtu anashindana na mambo ya Mungu,MUNGU mwenye uwezo wa kusimamisha anga bila nguzo halafu wa2 eti wanaweka kama kipnd maalum. Ina maana wamekosa vipindi ya kuelimisha jamii? Wazo langu tu!

ana pumzika au anakula marungu hukoWamwache babu wa watu apumzike.
Eti kuna thread moja ile majuzi jamaa mmoja kasema eti amezungukwa na malaika hapo ahera. Nimemshangaa sana.