Channel Ten ilikuwa Mali ya CCM kuanzia lini?

Uliloandika hujui kuhusu channel ten na kama hujui acha kuzusha ni upuuzi. Kazi ya JF ni kuelimisha si kupotosha wewe kiazi

Wewe ndio mpotoshaji,RA kaporwa Ch10 full stop...You could go to any hood, bet they know me....you're a little nikka,Gary Coleman...I be calling all the shots, I'm big homie.
GC.jpg
 
Kwa nini asichague alie hai?
Unamshambulia asieweza kujitetea eti unafikisha ujumbe,nani mwenye akili atakuamini?
Kwani mchungaji akiwa anaendesha ibada ya mazishi lengo ni Nini? Mana marehemu asikii. Kusemwa ni muhimu sana ili wengine tujifunze.
 
Tutaendelea kumjadili tu , mpaka siku ligasi yake itakapopotea kabisa.
Ni vigumu sana kuipoteza legacy ya Magufuli labda muondoe zile meli,nyasa,Tanganyika na Victoria
Mrudishe elimu kwa pesa,vunjeni madaraja,bomoeni Barbara,ng'oeni reli ya Moshi
Mnachofanya ni kuahirisha tu misongo yenu ya mawazo,bada ya muda hasira zitawaisha.Ndio tabia za binadamu utapona tu usijali
 
Kwani hayo kafanya peke yake , Kuna vitu vingine vilianza kujengwa tangia awamu ya JK ila kaja kavizundua tu,
 
Naweka seat hapa
Wakati wa Magufuli ..siku moja alienda kutembelea Mali za chama akaenda kutembelea kituo maarufu cha TV cha Channel ten.

Ndo tukatangaziwa kuwa na chenyewe ni Mali ya Chama Cha Mapinduzi...

Wanaojua historia ya channel ten na kampuni iliyokuwa inamiliki hiyo channel
ya African Media Group..pamoja na channel zingine kama Dtv na baadae CTN..tulibaki mdomo wazi..

Swali langu lini CCM ilinunua hiii kampuni?
Au ndo moja ya 'uporaji 'uliofanywa?

Kuna mwenye maelezo ya kina??

Cc Pascal Mayalla ..wewe umewahi fanya kazi African Media Group.. Unajua lolote??
 
Channel ten umiliki wa asilimia 70 alikuwa Rostam Aziz na huyo mwenzake alikuwa na asilimia 30. Vodacom pia majority share holder alikuwa Rostam kwa hisa nadhani asilimia 60 ila baada ya Jiwe kuingia madarakani akazipunguza akabakia na asilimia 40 hivyo akaondoka kwenye kuwa mmiliki mkuu wa Vodacom akawaachia makaburu.

Sasa wakati wa uhakiki wa mali za CCM ulipofanyika Bashiru akatoa tuhuma kuwa Rostam enzi akiwa mweka hazina alikiibia chama fedha nyingi. Kama kawaida genge la utaifishaji likamuita likamwambia aidha alipe, au atoe umiliki wote wa hisa zake za makampuni hayo mawili ziende kwa CCM au apigwe uhujumu uchumi na biashara zake zote zipotee jumla. Ikabidi mwamba awe mpole aachie alichoamriwa. Tokea hapo ghafla lichannel ten na vijitawi vyake vyote likawa chini ya maccm kama wamiliki wakuu na hata yule mmiliki mwenza wakanunua vihisa vyake alivyokuwa anamiliki kama minority share holder wa Rostam kwa bei ya hasara kwa madai eti alikuwa hachangii fedha za kuendeleza kampuni badala yake alikuwa anasubiria tu kula faida. Na Vodacom nayo ikawa na sehemu ya umiliki wa maccm kama minority share holder ingawa walitaka nayo kuiteka jumla. Nashukuru jamaa ameondoka jumla kabla misheni haijakamilika. Yani watu washukuru tena na tena maana vinginevyo sijui!

Nina list ya makampuni kama 15 hivi ambayo serikali ya JIWE iliyachukua kibabe. Yani ilikuwa hivi. Unaitwa kwenye kachumba kamoja kwenye jengo maarufu la TAKUKURU pale mjini huko unakutana na yale ma tycoon ya JIWE kisha unapigiwa hesabu ya kodi tangia uloponunua kampuni kutoka serikalini mwaka 1997 enzi ya ubinafsishaji mpaka mwaka 2019 ambapo ndipo mwaka Jiwe alifanya uporaji. Mwanangu kudadeki huo mkodi unaokadiriwa hata hiyo kampuni uiuze kwa wateja wanne tofauti kitapeli bado huwezi kuulipa. So unapewa option B ya kuwaachia kampuni kiroho safi na wewe unapewa mkataba wa ajira wa miezi 6. Ukishindwa hapo unakutana na ka task force ka uhujumu uchumi ambako kaliundwa maalum kwa kazi hiyo. Yani wote waliokumbana na hili sekeseke wakaishia kuachia umiliki wa mzigo ukaenda serikalini jumla huku wanatumbua macho. Yani unaiona kampuni ileeee inasepa kiulaini kama inateleza. Na ni makampuni makubwa yenye umiliki wa mabilioni ya fedha.

Mwanangu JIWE alikuwa SUMU!
 
Sasa wakati wa uhakiki wa mali za CCM ulipofanyika Bashiru akatoa tuhuma kuwa Rostam enzi akiwa mweka hazina alikiibia chama fedha nyingi. Kama kawaida genge la utaifishaji likamuita likamwambia aidha alipe, au atoe umiliki wote wa hisa zake za makampuni hayo mawili ziende kwa CCM au apigwe uhujumu uchumi na biashara zake zote zipotee jumla. Ikabidi mwamba awe mpole aachie alichoamriwa. Tokea hapo ghafla lichannel ten na vijitawi vyake vyote likawa chini ya maccm kama wamiliki wakuu na hata yule mmiliki mwenza wakanunua vihisa vyake alivyokuwa anamiliki kama minority share holder wa Rostam kwa bei ya hasara kwa madai eti alikuwa hachangii fedha za kuendeleza kampuni badala yake alikuwa anasubiria tu kula faida. Na Vodacom nayo ikawa na sehemu ya umiliki wa maccm kama minority share holder ingawa walitaka nayo kuiteka jumla. Nashukuru jamaa aliondoka kabla misheni haijakamilika.

Nina list ya makampuni kama 15 hivi ambayo serikali ya JIWE iliyachukua kibabe. Yani ilikuwa hivi. Unaitwa kwenye kachumba kamoja kwenye jengo maarufu la TAKUKURU pale mjini huko unakutana na yale ma tycoon ya JIWE kisha unapigiwa hesabu ya kodi tangia uloponunua kampuni kutoka serikalini mwaka 1997 enzi ya ubinafsishaji mpaka mwaka 2019 ambapo ndipo mwaka Jiwe alifanya uporaji. Mwanangu kudadeki huo mkodi unaokadiriwa hata hiyo kampuni uiuze kwa wateja wanne tofauti kitapeli bado huwezi kuulipa. So unapewa option B ya kuwaachia kampuni kiroho safi na wewe unapewa mkataba wa ajira wa miezi 6. Ukishindwa hapo unakutana na ka task force ka uhujumu uchumi ambako kaliundwa maalum kwa kazi hiyo.

Mwanangu JIWE alikuwa SUMU!

Jiwe alikua hatari kwenye uporaji wa Mali ,MATAGA wamekazania Legasi legasi ,sasa legasi gani ya kufilisi wafanyabiashara?
 
Ccm ilikua Ina hisa kwenye kampuni hii kupitia kwa aliekuwa mweka hazina wa CCM ndugu Rostam Aziz

Alipoingia Magufuli akateua kamati kufuatilia Mali za CCM, ikagundulika hisa za CCM bado zipo mikononi mwa Rostam. Rostam alipoambiwa akaziachia mara moja na kuifanya CCM kuwa mmiliki halali
Kwani Rostam ni mtoto wa CCM?
 
Wakati wa Magufuli ..siku moja alienda kutembelea Mali za chama akaenda kutembelea kituo maarufu cha TV cha Channel ten.

Ndo tukatangaziwa kuwa na chenyewe ni Mali ya Chama Cha Mapinduzi...

Wanaojua historia ya channel ten na kampuni iliyokuwa inamiliki hiyo channel
ya African Media Group..pamoja na channel zingine kama Dtv na baadae CTN..tulibaki mdomo wazi..

Swali langu lini CCM ilinunua hiii kampuni?
Au ndo moja ya 'uporaji 'uliofanywa?

Kuna mwenye maelezo ya kina??

Cc Pascal Mayalla ..wewe umewahi fanya kazi African Media Group.. Unajua lolote??
Bandit state under Jiwe aka Meko!
 
Channel ten umiliki wa asilimia 70 alikuwa Rostam Aziz na huyo mwenzake alikuwa na asilimia 30. Vodacom pia majority share holder alikuwa Rostam kwa hisa nadhani asilimia 60 ila baada ya Jiwe kuingia madarakani akazipunguza akabakia na asilimia 40 hivyo akaondoka kwenye kuwa mmiliki mkuu wa Vodacom akawaachia makaburu.

Sasa wakati wa uhakiki wa mali za CCM ulipofanyika Bashiru akatoa tuhuma kuwa Rostam enzi akiwa mweka hazina alikiibia chama fedha nyingi. Kama kawaida genge la utaifishaji likamuita likamwambia aidha alipe, au atoe umiliki wote wa hisa zake za makampuni hayo mawili ziende kwa CCM au apigwe uhujumu uchumi na biashara zake zote zipotee jumla. Ikabidi mwamba awe mpole aachie alichoamriwa. Tokea hapo ghafla lichannel ten na vijitawi vyake vyote likawa chini ya maccm kama wamiliki wakuu na hata yule mmiliki mwenza wakanunua vihisa vyake alivyokuwa anamiliki kama minority share holder wa Rostam kwa bei ya hasara kwa madai eti alikuwa hachangii fedha za kuendeleza kampuni badala yake alikuwa anasubiria tu kula faida. Na Vodacom nayo ikawa na sehemu ya umiliki wa maccm kama minority share holder ingawa walitaka nayo kuiteka jumla. Nashukuru jamaa ameondoka jumla kabla misheni haijakamilika. Yani watu washukuru tena na tena maana vinginevyo sijui!

Nina list ya makampuni kama 15 hivi ambayo serikali ya JIWE iliyachukua kibabe. Yani ilikuwa hivi. Unaitwa kwenye kachumba kamoja kwenye jengo maarufu la TAKUKURU pale mjini huko unakutana na yale ma tycoon ya JIWE kisha unapigiwa hesabu ya kodi tangia uloponunua kampuni kutoka serikalini mwaka 1997 enzi ya ubinafsishaji mpaka mwaka 2019 ambapo ndipo mwaka Jiwe alifanya uporaji. Mwanangu kudadeki huo mkodi unaokadiriwa hata hiyo kampuni uiuze kwa wateja wanne tofauti kitapeli bado huwezi kuulipa. So unapewa option B ya kuwaachia kampuni kiroho safi na wewe unapewa mkataba wa ajira wa miezi 6. Ukishindwa hapo unakutana na ka task force ka uhujumu uchumi ambako kaliundwa maalum kwa kazi hiyo. Yani wote waliokumbana na hili sekeseke wakaishia kuachia umiliki wa mzigo ukaenda serikalini jumla huku wanatumbua macho. Yani unaiona kampuni ileeee inasepa kiulaini kama inateleza. Na ni makampuni makubwa yenye umiliki wa mabilioni ya fedha.

Mwanangu JIWE alikuwa SUMU!
km usemayo ni kweli basi mungu huko aliko anywe juisi ya baridi watanzania tutalipa kwakweli jiwe alikua ni zaidi ya shetani na Mungu asingekubali watanzania kuonewa namna hiyo
 
Mkuu usipende kumshirikisha Mungu kwenye ishu ambazo huna uhakika za kusikia kwakina mange,
 
Back
Top Bottom