Channel Ten chombo cha propoganda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Channel Ten chombo cha propoganda

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jituoriginal, Jan 15, 2011.

 1. Jituoriginal

  Jituoriginal JF-Expert Member

  #1
  Jan 15, 2011
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 362
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Waendesha kipindi maalumu cha maandamo YA ARUSHA kilichodhaminiwa na wizara ya Habari kupitia Idara ya Habari maelezo kulisafisha Jeshi la polisi na kuichafua CDM.
   
 2. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #2
  Jan 15, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hawa ni wapuuzi wamenitoa sebuleni nipo chumbani sasa. Hakuna watakachookoa watu wako macho
   
 3. Jituoriginal

  Jituoriginal JF-Expert Member

  #3
  Jan 15, 2011
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 362
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Channel Ten,wawe makini wasije tumiwa na watuhumi wa wa The Hague.
   
 4. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #4
  Jan 15, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Rostam amenunua share kwenye kituo hicho. Kwa hiyo, sishangai kutumika kama chombo cha propaganda kwa ajili ya serikali.
   
 5. Jituoriginal

  Jituoriginal JF-Expert Member

  #5
  Jan 15, 2011
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 362
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Wanatia aibu tasnia nzima ya Habari.
   
 6. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #6
  Jan 15, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,125
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Hiki kituo si kinamilikiwa na mafisadi? Wote ni walewale tu!
   
 7. M

  Madcheda JF-Expert Member

  #7
  Jan 15, 2011
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 416
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Hawa wapumbavu si wahindi hawa lazima wajikombe kwa dola?? Yan tangu mwanzo wa kipindi wanalaumu chadema tu hakuna sehemu wanasema polisi walikosea. Yan kwakwel media house ikiwa bias kiwango hichi ina weza sbb matatizo aise
   
 8. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #8
  Jan 15, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Tena! anatisha huyu mbunge wa Igunga?
   
 9. Jituoriginal

  Jituoriginal JF-Expert Member

  #9
  Jan 15, 2011
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 362
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Itv nao yale yale kama Channel ten, tena,naona ni strategy mpya ya kucheza na public mind ikiwa na dhumuni la kuwaokoa watuhumiwa wa The Hague.
   
 10. Ikimita

  Ikimita JF-Expert Member

  #10
  Jan 15, 2011
  Joined: Oct 23, 2010
  Messages: 302
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  I am not surprised, siasa ni mchezo mchafu.
   
 11. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #11
  Jan 15, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  channel ten ya mafisadi? Itv wameonyesha ya nani? Tbc wameonyesha ya nani? Tusaidie tujue
   
 12. amanibaraka

  amanibaraka JF-Expert Member

  #12
  Jan 15, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 258
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wote uelewa wenu ni mdogo. POLISI wamelipia hivyo vipindi, ni business tu. Nani hataki ankara!?

   
 13. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #13
  Jan 15, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Mbona na ITV wameonyesha tena during prime time?
   
 14. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #14
  Jan 15, 2011
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Nao ITV jee? CHADEMA nao waonyeshe ukweli basi ili kuondowa hiyo propaganda!
   
 15. Mpasuajipu

  Mpasuajipu JF-Expert Member

  #15
  Jan 15, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 838
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  ITV=TBC=Chanell ten

  Hakuna tofauti yoyote:Cry:
   
 16. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #16
  Jan 15, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  mijitu mingine bwana inadakia maneno hovyo mimi namuuliza uyo mwenye post anaiponda channel ten peke yake mbona, TBC, ITV nazo je? atutakì kujua kama polisi wamelipa au awajalipa wewe umejuaje kama wamelipa au MWEMA shemeji yako?
   
Loading...