Channel 10 ndani ya DSTv sasa jionee mwenyewe


Wa Mjengoni

Wa Mjengoni

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2010
Messages
482
Likes
3
Points
35
Wa Mjengoni

Wa Mjengoni

JF-Expert Member
Joined May 4, 2010
482 3 35
Jana yalisainiwa makubaliano yatakaowezesha vipindi vya televisheni ya channel Ten kuonekana kupitia DSTv. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar.
Source: Tanzania Daima la leo uk. wa 5 na mimi mwenyewe saa hizi naangalia Ch. 10
 
Wa Mjengoni

Wa Mjengoni

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2010
Messages
482
Likes
3
Points
35
Wa Mjengoni

Wa Mjengoni

JF-Expert Member
Joined May 4, 2010
482 3 35
Samahani nilisahau kuweka namba ya channel - ni 292
 
BADILI TABIA

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2011
Messages
31,005
Likes
6,450
Points
280
BADILI TABIA

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2011
31,005 6,450 280
safi naangalia hapa taarifa ya habari
 
M

mwitu

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2012
Messages
857
Likes
22
Points
0
M

mwitu

JF-Expert Member
Joined Jun 22, 2012
857 22 0
channel gani hiyo kila wakati sky news. Au kuna kipindi gan cha maana?
 
S

Sambuka

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2011
Messages
319
Likes
3
Points
0
S

Sambuka

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2011
319 3 0
duh, tatizo nazo znakua zakulipia wakt TCRA
ilitoa amri local zote ziwe bure
 

Forum statistics

Threads 1,252,277
Members 482,061
Posts 29,802,493