Channel 10 inahoji wasichana wanaojiuza Arusha

hali ya kifedha ni mbya. na swala la kutoonyesha sura ni sawa coz they are working
 
ah mie sioni tatizo ya hawa wanawake .....they serve a purpose and that is offering no strings attached sex at a price. sasa kama serekali inabidi tuu itafute njia za kupata mapato toka kwa hawa wanadada...huu utahira wakusema kuwa siye watanzania ni watu wenye maadili utatupeleka pabaya na pia ni kujidanganya maana tungekuwa na maadili tusingekuwa na kupitiana mbavuni....aliyekuwa anataka nchi yenye maadili aingie zake saudi arabia huku.....wacha hawa wanawake wafanye wanachotaka na serekali ihakikishi wanalindwa kiafya na kodi wachukue!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom