Chanjo zinatolewa ma serikali ni za nini?

big-diamond

JF-Expert Member
May 23, 2009
421
551
Tumesikia wenzetu wa west africa wakiwafukuza hawa jamaa wa red cross kwa kusema kuwa chanjo wanazotoa ndizo zilizobeba ugonjwa unawaua..na pia wameendelea kwa kusema kuwa watu waliokufa ni wale tu waliopata chanjo za kukinga ugonjwa....

Hivyo ningependa kujua hii chanjo inayopita sasa hivi mitaani ina usalama kwetu...?
 
Mungu! Saidia maana nisivyowaamini hawa watendaji wa Sasa na hizi rushwa na wasivyo na hata haya kutetea hata kisicho faa..naomba isiwe hivyo unavyofikiria
 
Mungu! Saidia maana nisivyowaamini hawa watendaji wa Sasa na hizi rushwa na wasivyo na hata haya kutetea hata kisicho faa..naomba isiwe hivyo unavyofikiria

Yani ndugu nami ninaomba iwe hivyo....Maana imebidi nisitishe familia isiende mpaka nitakapojiamisha na kuridhika na hiyo chanjo..Kama kuna mwenye taarifa zaidi tujuzane..
 
Back
Top Bottom