Chanjo za watoto wachanga, kwa AFRICA TU AU NI DUNIA NZIMA? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chanjo za watoto wachanga, kwa AFRICA TU AU NI DUNIA NZIMA?

Discussion in 'JF Doctor' started by ntamaholo, Feb 4, 2012.

 1. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #1
  Feb 4, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,151
  Likes Received: 2,114
  Trophy Points: 280
  Watalaam salamun.

  Naombeni kujulishwa juu ya chanjo wanazochanjwa watoto wadogo sehemu mbalimbali za miili yao, ambazo huwatesa kwa kuwa huwa ni kali sana. Chanjo hizi ni universal au wazungu walitengeneza kwa ajili ya waafrika tu?

  Kuna mzazi mmoja aligoma kumchanja mke wake wakati akiwa na mimba na mtoto hukuchanjwa chanjo yoyote ile kwa kuwa alitafasiri kuchanja kama kinyume na Iman yake, anasema mtu haumwi unaminga na nini? kama anaumwa atampa dawa yoyote lakini kuchanja anachukulia kama ushirikina.

  Pia yeye anaamini ni mkakati wa wazungu kutumaliza kwa kutuwekea sumu ambayo baada ya mda fulani tuwe tumekufa au hatuna uwezo wa kujitawala kwa kuwa madawa hayo yanaathiri hata mfumo wa akili.

  Naombeni majibu kama chanjo hizi huwa zinafanyika dunia nzima, au zililetwa kwa waafrika tu.
   
 2. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #2
  Feb 4, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,151
  Likes Received: 2,114
  Trophy Points: 280
  wengine wanasema ni harakati za western world kutujumuisha katika mfumo wa maisha yao. globalisation
   
 3. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #3
  Feb 4, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,151
  Likes Received: 2,114
  Trophy Points: 280
  kazi kweli kweli. Hadi jamvini mmegoma kutoa msaada watalaamu wetu?
   
 4. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #4
  Feb 4, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Ila zina baraka za WHO ingawa nao ni wale wale tuu.
  Nami izo tetesi za kuwa izo chanjo zina ajenda fulani ivi nilizidaka ila kuna haja ya kupeana experience
   
 5. D

  DrT Member

  #5
  Feb 4, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Check hiyo clip,hiyo ilikuwa TEDtalks,unaweza kuisaka.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. D

  DrT Member

  #6
  Feb 4, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Flu shot/vaccine
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Fadhili Paulo

  Fadhili Paulo Verified User

  #7
  Feb 4, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 3,241
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 135
  Sina uhakika kama kweli nchi zote wanatumia upuuzi huu. Bali kwa haraka naweza kusema kuwa chanjo hizo ni moja ya vitu mhimu katika kusababisha UKIMWI, wenyewe wanaziitaga ''silent killer'' yaani muuwaji wa taratibu. Mi huwa sielewi sababu ya binadamu kuamua tu kuwaua wengine sababu ya kutafuta hela!!!, ajabu kama mmoja alivyosema ni kuwa hata WHO ni walewale!!! sasa tunaishi ili iweje?. Google tu mkuu utapata tu ukweli. Nitarudi. www.maajabuyamaji.com:ballchain:
   
 8. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #8
  Feb 7, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,151
  Likes Received: 2,114
  Trophy Points: 280
  daa, inawezekana ni weli, wanataka kutumaliza. nataka nigome kumpeleka mwanangu chanjo ya pili, ya kwanza alilia mpka a nikamwonea huruma.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #9
  Feb 7, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,151
  Likes Received: 2,114
  Trophy Points: 280
  kuna mzee mmoja hakumchanja mwane, aliamua kumfanyia utafiti mwenyewe. hajawa loloe na darasani mtoto huyo hajambo
   
 10. Fadhili Paulo

  Fadhili Paulo Verified User

  #10
  Feb 7, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 3,241
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 135
  Mi ilikuwa bahati mbaya, sindano ya kwanza wakati mke wangu mjamzito alichomwa kwakuwa sikwenda naye, baadaye mara ya pili tukaanza kwenda wote, niliwagomea kuendelea kumchoma nyingine, haikuwa rahisi ni ngumu kwelikweli, daktari mmoja alinichukia sana akidai mimi siyo daktari iwaje nianze kupinga taratibu za wao madaktari ili hali mi si daktari?, nilimwambia siku hizi watu wana njia nyingi zaidi za kupata ukweli wa mambo. Nilifanikiwa kwa kila ya ujanja mpaka anajifunguwa mpaka sasa mwanangu hajawahi kuchoma sindano hizo na yupo supa tu. Ikiwa watu hawataki kujifunza japo mambo yanayo-govern miili yao wenyewe, basi ule msemo wa kwenye biblia usemao watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa utaendelea kuwa niwa kweli. Najuwa wapo baadhi ya madaktari wanaojuwa haya ila sasa hawawezi kusema vinginevyo pengine kwa kupenda ama kwa kutokupenda. mwanzo | maajabu ya maji
   
 11. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #11
  Feb 8, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,151
  Likes Received: 2,114
  Trophy Points: 280
  Mie wife hakumaliza zote lakini ilikuwa ni kwa uzembe, ilibaki moja. mtoto ameshachomwa mbili, ya baada ya kuzaliwa na ya baada ya mwezi ujao. nataka nimshawishi wife asiende ya tatu, aende tu kuhudhuria clinik, wakitaka kumchoma, aachane nao. Mungu anaweza mambo yote, tukikabidhi maisha ya mtoto kwake, atakua tu. kuna jamii hawajui mambo ya chanjo, lakini afya zao ziko safi.

  Kuna mwinjilist mmoja alisema, kuna baadhi ya mambo hayatuhusu sisi watendaji, bali yanawahusu watawala. Madaktari hata kama wanajua ubaya wa chanjo hizo, wanalazimika kusisitiza watu kuchanja kwa kuwa ni agizo la serikali na kwao ni utumishi wa haki. Serikali imeshasaini mkataba wa kutumia chanjo hizo, ikionekana haiwachanji watu wake, itanyimwa misaaada mingine ambayo hata hivyo mimi sioni kama ni misaada kwani haina tija kwetu, ni uzembe wa kufikiri wa viongozi wetu
   
 12. Fadhili Paulo

  Fadhili Paulo Verified User

  #12
  Feb 8, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 3,241
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 135
  Inapaswa kwanza tujitegemee, lakini hili lingewezekana zaidi kama Afrika ingeungana na kuwa kitu kimoja jambo ambalo naona litachukua muda, nchi moja moja za afrika kujitegemea na kukataa ubeberu wa biashara itakuwa vigumu na kwa wazungu kuona nchi fulani afrika inajitegemea kwao ni jambo wasilolitaka kabisa. Nini tunaweza kufanya ni kuelimishana hivi hivi siku elimu itasambaa, vile vile watu wapende kudadisidadisi hasa mambo yanayohusu afya zao.
   
 13. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #13
  Feb 8, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,151
  Likes Received: 2,114
  Trophy Points: 280
  Kuiunganisha Africa, ni suala ambalo linashindikana kwa kuwa kila nchi inakuwa na misimamo yake lakiniu pia kuna tishio la UKIBARAKA. Lakini pia kuna ubnafsi miongoni mwetu.

  Mfano ukichukua rais wa Botswana au Rwanda a,nao wamefanikiwa kuzivusha ncho zao kwenye umaskaini, ukiwaambia kuungana na Tanzania ambayo wana utajiri kama walionao wao lakini tanzania ni maskini, viongozi wa tanzania watawaambia, bado hatujawa tayari, au kama tukiungana, basi tanzania ndo ipewe kuwa mkuu wa kaya. hakuna atakayekubali
   
 14. Chimama

  Chimama Member

  #14
  Feb 8, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nadhani ni kama mwezi au miwili imepita sasa kumekuwa na operesheni ya kuchanja watoto..ilikuja kwa kasi sana mpaka wakaweka kambi sehemu zenye watu wengi mfano jengo la kusubiri ferry - K'mboni. Wengi tulijiuliza, why now? walipoona watu hawajitokezi kwa wingi wakaanza operesheni ya nyumba kwa nyumba...kwangu walipita ila nilikuwa nimeacha maagizo wasifunguliwe mlango. Nikaona bora niongee na daktari mmoja maarufu tu...akanijibu kimkato..'USIMPELEKE MTOTO'.

  Mungu atusaidie na hawa watoto maana kazi ipo!
   
 15. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #15
  Feb 8, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,151
  Likes Received: 2,114
  Trophy Points: 280
  inatakiwa tufike sehemu tujiulize how come fisadi la marekani akubali kutoa dola za marekani bilion 4.5 just kwa mambo haya tena kwa nchi za africa na asia. Viongozi wetu wapenda dezo ndio wanaotugharimu. Shezi zao, ndo maana wameshindwa kuelewana na dakatari nchini, na nikuwatifua huko kila kitu kitakuwa sawa tu
   
 16. Fadhili Paulo

  Fadhili Paulo Verified User

  #16
  Feb 8, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 3,241
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 135
  Tunashukuru kwa ushuhuda wako mkuu. hata hivyo tayari watu wanamwamko kuhusu hili ingawa ni wachache. Sasa Marekani anakuja kusaidia nchi maskini huku afrika wakati pale chini yake tu (Amerika kusini) kuna nchi nyingi ambazo bado ni maskini, kwanini asiwasaidie majirani zake hao wawe kama yeye?. Kilimo kinasahaurika na bei za vyakula zinazidi kupaa, tusipojidhatiti kutetea kilimo, maisha yatazidi kuwa hatarini zaidi kwani kundi kubwa la watu watazidi kuwaza njaa kuliko kudadisi mambo. Biashara hasa ya madawa ndiyo inayoleta mateso kwa binadamu kwakuwa magonjwa lazima yaandaliwe kwa mifumo kama hii ya chanjo ili viwanda vya madawa waendelee kutengeneza hela. Pale ubinadamu utakapozingatiwa zaidi kuliko pesa, ndipo chanjo kama hizi zitakapotoweka. Hela ni mwanaharamu. mwanzo | maajabu ya maji
   
 17. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #17
  Feb 8, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,163
  Trophy Points: 280
  Si ndio maana nusu ya wanaume hawana uwezo wa kuzaa kwa sasa, baada ya miaka 20 only 10% wataokuwa na uwezo wa kuzaa.

  Wazungu hawakubali ije siku muwatawale. Mkiwa wengi kuwatawala itakuwa ni rahisi sana. Wanafanya kila njia kutumaliza ili mradi tu waendelee kututawala kwa vizazi vingi vijavyo.
   
 18. m

  mANg'HOnDi Member

  #18
  Feb 8, 2012
  Joined: Dec 25, 2011
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hakika jf ni shule kwani sikujaliwa hekima ya kuyajua haya. kuanzia leo kwangu no chanjo.
   
 19. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #19
  Feb 9, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,151
  Likes Received: 2,114
  Trophy Points: 280
  Mama taratibu. kwa hiyo tunapokuwa wanaume 10, watano hawana uwezo wa kuzaa? mbona nikiangalia karibu wote hapa ofisini tuna watoto?
   
 20. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #20
  Feb 9, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,151
  Likes Received: 2,114
  Trophy Points: 280
  cha msingi ni shule na kupeana habari ndipo tutakapojikomboa. natamani kupata mawazo ya kina MAKULILO na LUNYUNGU walioko ughaibuni watuambie kama hizi chanjo zinafanyika katika nchi za hawa weupe.
   
Loading...