#COVID19 Chanjo za COVID-19 zenye virusi hai (viral vector vaccines) hazisababishi mtu kupata CoronaVirus

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Aug 7, 2018
625
938
Virusi hai.png


Kituo cha Kudhibiti Magonjwa Nchini Marekani (CDC) kimesema chanjo zenye viambata vya virusi hai (viral vector vaccines) havisababishi mtu kupata #coronavirus

Chanjo hizi hutumia virusi visivyo na madhara ili kuchochea mfumo wa kinga ili kupambana na kile inachodhani ni maambukizi

Karaha yoyote ya muda inayohisiwa baada ya kupata chanjo hii ni dalili kwamba chanjo inafanya kazi

CDC kinasisitiza kuwa hakuna chanjo yoyote ya kati ya zilizoidhinishwa inayoweza kumpa mtu COVID-19

======

How Viral Vector Vaccines Work

COVID-19 viral vector vaccines use a modified version of a different virus (a vector virus) to deliver important instructions to our cells.

First, COVID-19 viral vector vaccines are given in the upper arm muscle. The COVID-19 vector virus is not the virus that causes COVID-19, but a different, harmless virus. It enters the muscle cells and uses the cells’ machinery to produce a harmless piece of what is called a spike protein. The spike protein is found on the surface of the virus that causes COVID-19.

Next, the cells display the spike protein on their surface, and our immune system recognizes that the protein doesn’t belong there. This triggers our immune system to produce antibodies and activate other immune cells to fight off what it thinks is an infection. This response is what your body might do if you got sick with COVID-19.

At the end of the process, our bodies have learned how to protect us against future infection with the virus that causes COVID-19. The benefit is that we get this protection from a vaccine, without ever having to risk the serious consequences of getting sick with COVID-19. Any temporary discomfort experienced after getting the vaccine is a natural part of the process and an indication that the vaccine is working.

Source: CDC
 
Yaani huu ugonjwa tukiacha kuuzungumzia tu, unaisha, tukianza kuuzungumzia kama hivi, unarudi, hivi ni ugonjwa wa aina gani huu??!!!
 
Back
Top Bottom