Chanjo ya Homa ya Ini ina gharama au ni bure?

Lager

JF-Expert Member
Mar 4, 2019
389
1,071
Nilikuwa napenda kujua kuhusu chanjo ya homa ya ini kama inatolewa bure ama inagharama.

Msaada wenu tafadhari.
 
Ningependa pia kujua Kama inagharama ni ghalama kiasi gani?
 
Sikufahamu kwamba kuna hii chanjo... ngoja nifanye kusoma michango, na kama ipo basi nifanye fasta kwenda kuchanja!!
 
Ipo kwa hospitali binafsi ina range kama 70,000 lakini kwa serikalini si tumeambiwa ni bure wazee
 
Nilikuwa napenda kujua kuhusu chanjo ya homa ya ini kama inatolewa bure ama inagharama.

Msaada wenu tafadhari.
Wakati inaanza ilikuwa BURE lakini mwitikio wa watu ulikuwa mdogo sana na nyingi zili_expire.

Sasa hivi zinalipiwa. Siyo BURE.
 
Hospital za uma n tzs 10,000/=kwa chanjo moja,,mana unatakiwa upate chanjo 3 kwa vipindi tofauti.Hospitari za private bei zimetofautiana
 
Back
Top Bottom