#COVID19 Chanjo ya COVID-19: Watanzania hatujawahi kuchomwa chanjo kwa kujaza fomu kuiepusha Serikali na lawama za madhara

Chanjo imekua balaa, saivi wanafunzi wakiona tuu cruiser nyeupe inakatiza shuleni wanakimbilia home fasta kusema kuwa wamekuja kuchanjwa, na wazazi wanaliamsha kwelikweli.
 
Back
Top Bottom