#COVID19 Chanjo ya COVID-19 inajenga kinga yake siku 15 baada ya dozi ya mwisho

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Aug 7, 2018
625
938
Wataalamu wanafafanua kuwa unapota chanjo ya Covid-19 haimaanishi kuwa kinga ya mwili dhidi ya corona inatengenezeka hapo hapo, wasisitiza watu wanaochanjwa kuwa na subira ili kuipa nafasi chanjo kutengeneza kinga kamili mwilini.

Aidha, wanaweka bayana kuwa kuwa unapochanjwa dozi ya mwisho chanjo ya mwili hutumia takribani siku siku 15 kupokea na kutengeneza kinga dhidi ya covid-19.

Hivyo, utahesabiwa umekamilisha chanjo husika siku 15 baada ya kuchomwa sindano ya mwisho
===

COVID-19 vaccines are effective at protecting you from getting sick. Based on what we know about COVID-19 vaccines, people who have been fully vaccinated can do things that they had stopped doing because of the pandemic.

In general, people are considered fully vaccinated:
  • 2 weeks after their second dose in a 2-dose series, such as the Pfizer or Moderna vaccines, or
  • 2 weeks after a single-dose vaccine, such as Johnson & Johnson’s Janssen vaccine

Credit: CDC
 
Back
Top Bottom