#COVID19 Chanjo ya Corona ina umuhimu sana, Awamu ya tano ilikosea kwa kutotambua umuhimu wa sayansi

Faida ya chanjo imezirudisha nchi nyingi hasa za Ulaya,China,USA,CANADA,SOUTH KOREA ETC katika uchumi wao wa kawaida.Yaani wanaitwa nchi zilizoendelea.Wananchi wao wamepata chanjo na sasa hawana tena hofu na ugonjwa wa CORONA.HUDUMA ZA JAMII,STAREHE,N.K ZIMERUDI KAMA KAWAIDA.Hapa kwetu awamu ya tano tena bila aibu ikatuambia tutumie njia za asili yaani tukapoteza mamilioni kujenga sehemu ya kujifukiza hapo muhimbili huku watu wanateketea.Waziri wa Afya bado yupo!!!inashangaza kuona Hakuondolewa katika baraza la mawaziri wa Awamu ya Sita.Jopo la Wataalam limetoa mapendekezo yake na yakitekelezwa tutarudi katika uchumi bora sana yaani mishahara itapanda,watalii MABILIONEA original kama wanaokwenda Kenya MFANO akina Bill Gates,Rihanna,JZ na mkewe Beyonce,Tim Werner,Agnelli n.k wataongezeka na watu wa aina hii huwa wanakuja na wapambe kibao(wengi) ,vivyo hivyo wawekezaji wakubwa watakuja kama akina Dangotte,Unilever,Morgans etc kuwekeza na sio wanaojiita wawekezaji eti wamefungua kiwanda cha kukoboa mpunga na bila aibu mkuu wa nchi anakifungua. Tukifanikiwa kufuata ushauri wa kamati kuhusu CORONA miradi mingi itaongezeka, HOFU miongoni mwa hawa wachache niliowataja itaondoka.Leo tu kwa wapenzi wa soka la England viwanja vimeanza kufurika watu.Najua watatokea wapuuzi watapinga tu.Baada ya mapendekezo ya ripoti ya wataalam kuhusu corona kutolewa,sasa ni wakti muafaka kwa Waziri wa Afya kuachia ngazi.Katutia aibu kubwa duniani.#KWA JINA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA #KAZI IENDELEE.
Basi imetosha ni kweli alikosea,sasa tujirekebushe tu na kuendelea na maisha
 
Kwani nani kakuambia sisi tunaishi na HOFU ulihoji mmojammoja wakakuambia wanaHOFU
Au uliwakuta wamejifungia ndani wakiwa na hiyo HOFU ya kutembea kuogopa CORONA
Mimi sina HOFU labda hiyo HOFU unayo wewe
Mimi na Wenzangu kitaa wala hatushtuki na hatuna habari tunadunda tuu kama kawa
Umemuelewa ?
 
Wazungu wameanza kuja Afrika miaka 1498 akifikia Malindi Kenya. Waafrika walikuwepo na walikuwa wanaishi.

Ukoloni ukaja miaka 1985, waafrika walikuwepo wana walikuwa wanaishi.

Wakati korono inakuja, wazungu walitabiri Waafrika watakufa kweli, tutegemee maiti kuwa zinaokotwa barabarani; hili likabuma.

Leo wazungu wamekuwa wema sana kuleta chanjo!

Nadhani ingekuwa busara kama kabla ya kuchanjwa, zipite maabara zetu pale NIMR zifanyiwe tafiti ya kisayansi na watalam wetu; then tuone kuna content gani ndani yake.

Mbona wao wazungu walijipa muda kutafuta chanjo zao wenyewe?

Kwa kuwa Afrika imeishi na watu wakawepo kwa mpaka miaka akina Vasco da Gama wanakuja, then tukajifunza sayansi yenye kufuata taaluma ambayo wao wameiweka, sio vibaya kutumia maarifa na procedure za kisayansi toka kwao then ndipo nasi tuitumie.

Msingi wa Prof. alieongoza tume kutuambia sio lazima kuchanjwa maana yake kumbe watu wanaweza kuishi bila chanjo.

Maana hata Marekani na kwingineko, kuna sera ya kiafya ambayo haimlazimishi mtu kuchanjwa.

Tunampongeza sana Rais SSH kuruhisu sayansi ichukue nafasi, ila sasa iko haja kutumia vyanzo vya ndani kuwa determinant factor baada ya kutafiti content ya chanjo.
 
Faida ya chanjo imezirudisha nchi nyingi hasa za Ulaya,China,USA,CANADA,SOUTH KOREA ETC katika uchumi wao wa kawaida.Yaani wanaitwa nchi zilizoendelea.Wananchi wao wamepata chanjo na sasa hawana tena hofu na ugonjwa wa CORONA.HUDUMA ZA JAMII,STAREHE,N.K ZIMERUDI KAMA KAWAIDA.Hapa kwetu awamu ya tano tena bila aibu ikatuambia tutumie njia za asili yaani tukapoteza mamilioni kujenga sehemu ya kujifukiza hapo muhimbili huku watu wanateketea.Waziri wa Afya bado yupo!!!inashangaza kuona Hakuondolewa katika baraza la mawaziri wa Awamu ya Sita.Jopo la Wataalam limetoa mapendekezo yake na yakitekelezwa tutarudi katika uchumi bora sana yaani mishahara itapanda,watalii MABILIONEA original kama wanaokwenda Kenya MFANO akina Bill Gates,Rihanna,JZ na mkewe Beyonce,Tim Werner,Agnelli n.k wataongezeka na watu wa aina hii huwa wanakuja na wapambe kibao(wengi) ,vivyo hivyo wawekezaji wakubwa watakuja kama akina Dangotte,Unilever,Morgans etc kuwekeza na sio wanaojiita wawekezaji eti wamefungua kiwanda cha kukoboa mpunga na bila aibu mkuu wa nchi anakifungua. Tukifanikiwa kufuata ushauri wa kamati kuhusu CORONA miradi mingi itaongezeka, HOFU miongoni mwa hawa wachache niliowataja itaondoka.Leo tu kwa wapenzi wa soka la England viwanja vimeanza kufurika watu.Najua watatokea wapuuzi watapinga tu.Baada ya mapendekezo ya ripoti ya wataalam kuhusu corona kutolewa,sasa ni wakti muafaka kwa Waziri wa Afya kuachia ngazi.Katutia aibu kubwa duniani.#KWA JINA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA #KAZI IENDELEE.
Huyo bibi wa afya na jopo lake hawafai kabisa kuwa ofisini hata kwa dak 1
 
Kwa

Kwani tanzania hakuna fulaha?
Mbona uchumi wetu umekua imara tangu corona na tukaingia uchumi wa kati kipindi hicho au wewe ulikuwa kabulini?
Kwani watalii na wageni hawaji tanzania?

Watu hawaendi.madisco na kweye starehe?
Nadhani una ugonjwa unaotokana na makali9 ndo unakusumbua.
 
Faida ya chanjo imezirudisha nchi nyingi hasa za Ulaya,China,USA,CANADA,SOUTH KOREA ETC katika uchumi wao wa kawaida.Yaani wanaitwa nchi zilizoendelea.

Wananchi wao wamepata chanjo na sasa hawana tena hofu na ugonjwa wa CORONA.HUDUMA ZA JAMII,STAREHE,N.K ZIMERUDI KAMA KAWAIDA.

Hapa kwetu awamu ya tano tena bila aibu ikatuambia tutumie njia za asili yaani tukapoteza mamilioni kujenga sehemu ya kujifukiza hapo Muhimbili huku watu wanateketea. Waziri wa Afya bado yupo. Inashangaza kuona hakuondolewa katika Baraza la Mawaziri wa Awamu ya Sita.

Jopo la Wataalam limetoa mapendekezo yake na yakitekelezwa tutarudi katika uchumi bora sana yaani mishahara itapanda, watalii mabilionea original kama wanaokwenda Kenya mfano wataongezeka na watu wa aina hii huwa wanakuja na wapambe kibao(wengi) ,vivyo hivyo wawekezaji wakubwa watakuja kuwekeza

Tukifanikiwa kufuata ushauri wa kamati kuhusu CORONA miradi mingi itaongezeka, HOFU miongoni mwa hawa wachache niliowataja itaondoka.

Leo tu kwa wapenzi wa soka la England viwanja vimeanza kufurika watu.

Baada ya mapendekezo ya ripoti ya wataalam kuhusu corona kutolewa,sasa ni wakti muafaka kwa Waziri wa Afya kuachia ngazi.Katutia aibu kubwa duniani.

#KWA JINA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA #KAZI IENDELEE.
Kweli kabisa mama anajitahidi lakini nilitazamia wale mawaziri wa afya wa awamu iliyopita wasiwepo kwenye awamu hii.
 
IMG-20210519-WA0078.jpg
 
Back
Top Bottom