#COVID19 Chanjo ya Corona Dar es Salaam na muitikio mdogo

Hana uwezo wa kuwashawishi wananchi kwenye swala la corona sasa hivi.Haaminiki amekosa usafi wa kimaadili kusemea chochote kinachohusu corona.

Pia watu hawajaona madhara hasa ya corona kwa scale ya taifa wanaona maisha ni yaleyale toka JPM yupo hadi sasa hakuna kilichobadirika.
Sasa hauoni hapo zigo lote anaangushiwa yeye kwa sababu ya mambo ambayo yalikuwa ni msimamo wa serikali iliyopita? Samia yeye kwa nafasi yake amebadili nini kilicho tofauti na Magufuli ukiacha kukubali tu hizi chanjo?
 
Dar es Salaam ni kama imebeba picha ya Tanzania nzima wakati fulani ni kama pilot (case study) katika mikoa mingine.

Mkuu wa mkoa wa DSM alitangaza siku ya leo kuwa kutakua na chanjo ya UVIKO-19 katika uwanja wa taifa wa Uhuru, mimi nimekwenda na nimechanjwa hali nilioiona kwa leo hapana muitikio ni mdogo mno kuna sababu za msingi za kulipa nguvu jambo hili.

Mosi ni kwa wale waliokuwa viongozi wa awamu ya tano katika Wizara ya Afya wajipime,sio mpaka mama awabadilishie majukumu mengine.

Inawapa sana ugumu watanzania" jana waambiwe hivi na leo waambiwe hivi"(kiongozi anasema jana chanjo sio salama leo anasema chanjo ni salama).

Shaka kubwa sana imejengeka hapo kwa wananchi Rai yangu wapatikane viongozi wapya katika wizara hii kutuhamasisha juu ya uchanjwaji huu vinginevyo naona kabisa serikal inaenda kufeli katika jambo hili.

Sio mbaya kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akimuona RC mstaafu aliyegombea kule Mbutu ampe namna ya kuhamasisha watu anapokuwa na jambo lake kwa wananchi wa DSM, naona habari za ofisi yake zinaishia Bungoni tu sio Dar es Salaam yote.

Muwe na Jumapili njema, korona ipo.
Umeyarudia ya Gwajima au wewe ndio Gwajiboy.
Wakibadiliswa ndio kutakua na mafuriko?
 
Kila mtu na uamuzi wake tusilazimishane kufanya unachotaka wewe. Wewe umechanjwa kaa kimya na uamzi wako.

Chanjo ni hiari. Watanzania wengi wanafuatilia habari za kwenye mitandao kuliko -vyombo vya habari sahihi ( main stream media)kama vile ITV, TBC na vinginevyo. Nchi zilizo endelea kama Marekani - mwitikio bado ni shida (mdogo) , sasa huwezi kushangaa mwitikio wa hapa Tanzania ambapo wananchi wengi wanaamini tiba asilia na wengine wameamua kumuachia Mungu- na liwalo na liwe. Mwitikio mdogo si tatizo la wizara ya afya wala viongozi waliopo. Hayo ni maamuzi ya wananchi wenyewe, wanataka walazimishwe, hawajazoea kujiamulia wenyewe- wamepewa uhuru wa kuchanja au kutokuchanja, sasa kwanini tunaona ni tatizo wakati wao wameamua kutochanja.
 
tukisema liwalo na liwe huoni kua ni shida .
Serikal baadae itakuja kulaumiwa kwa kutoweka mkazo katika chanjo
 
Back
Top Bottom