Francis fares Maro
JF-Expert Member
- Jun 20, 2021
- 1,227
- 1,339
Tokea nimezaliwa na sio Mimi tu, watanzania wengi kama sio wote tumekua tunapata chanjo kutoka Kwa wahisani (mabeberu)..kila chanjo lazima iwe na side effects Kwa baadhi ya watu lakini sio wote.
hanjo hizi zina umuhimu mkubwa sana kwenye maisha yetu ya kila siku!!..tuache propoganda mbaya za kuumiza wenzetu kwasababu ya umaarufu ambao hautakusaidia Kwa vyote vyote vile.
kuna binadamu ambae ata ishi milele, Ndugu watanzania tuwaogope wanasiasa na wachungaji hewa ambao wanaangalia maslahi yao badala ya maisha yetu na vizazi vijavyo!!.. Watanzania wakati huu ndio wakuangalia pumba na mashudu,hivi unajiuliza hawa JPM aliwaamini vipi Hadi kuwapa ubunge Kwa Nguvu.
kulikua na shida sehemu hivi kama nchi serikali inakuaje kiamya Kwa watu wanaopotosha Umma namna hii!!??..Kama Bunge letu tukufu limetoa Adhabu hii nilitegemea na vyombo vengine vichukue mkondo wake Kwa watu namna hii
Leo namuunga mkono Spika Ndugai na Bunge lako hawa watu wanatakiwa washughulikiwe hawawezi kusema uongo namna hii!!..Wanakashfu Bunge na Serikali,Yani wanadharau Hadi Mwenyekiti wetu hata Amiri jeshi mkuu
Hii nchi imefika hatua hii kweli!!..Hata kama ndio Uhuru wa kujieleza ndio umefikia huku!!..Hawa wapewe Adhabu zaidi ili kesho iwe fundisho naomba jeshi la police na vyombo vengine vya usalama vichukue nafasi yake sasa!!!