#COVID19 Chanjo itatumika kama Credit/Debit Card Benki?

sinajinasasa

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
2,989
4,129
Najaribu ku "connect dot in order to get a big picture" kuhusu promotion za kwenda kupokea chanjo ya Covid19!!
Nimesikia mwakani kuna mpango wa kutumia sarafu ya Afrika Mashariki kama Euro inavotumika.

Sasa hivi watu wanajipeleka kupata chanjo na baada ya chanjo na baada ya chanjo wanapata Certificate kuwa umechanja, tena ni electronically kiasi kwamba huwezi ku fake. Tayari Database ya wapokeaji wa chanjo imeandaliwa tena sina shaka ni ya kidunia ( global database), baadhi ya sehemu wana print certificate, na sehemu nyingine ukikamilisha dose unapewa na Card kama hizi za benk kuwa umepokea shots za Covid19 na hiyo card ni wordwide inatambulika.

Swali: Je Card hizo hazitatumika kupata pesa benk na ATM?

Ninachokiona hawa "mumiani" wanao promote chanjo, watawabana watu wote wasiotaka chanjo, kama baadhi ya Nchi za ulaya na Marekani ambazo zimechanja watu wao kwa zaidi 70% wameshaanza kuwazuia watu kwenda kufanya shopping supermarket na migahawani na kwenye usafiri wa umma( metro system) kwa wote wasio na Chanjo ( sio tena barakoa kama mumiani wa kibongo wanavotutaka).

Sasa hivi bado campain zinaendelea kwenye Mainstream media kuwa hata sasa hivi wanaolazwa hospitali kwa tatizo la mapafu Authority zinasema 90% ni wale ambao hawajachanja.

Campain ikifanikiwa kuchanja dunia kwa zaidi ya 80-90% wata launch sasa kutopata huduma ya kifedha popote duniani kama huna shots za uviko.

Bongo baada ya kuona respond ni ndogo kwa hizo chanjo 1.2Mln sasa wana launch campain uwanja wa taifa Jumapili watu wakachanje tena haina muda maalumu hadi wateja waishe. ( BILA SHAKA hayo ni maagizo ya wasiojulikana ambao ni wataalumu wa afya)

Hizo chanjo zinazokuja 17mln, sijui kama zitaisha labda watumie nguvu kubwa ya kulazimisha.

My Intuition tells me, kuwa hii ni hatari ipo usoni hasa kwa sisi binadamu, watu hudhani authority zipo kwa ajili yetu, na kuwa inatupenda, TAFAKARI KWA KINA.

Hii chanjo haifanani na chanjo kadhaa tulizopokea, kwa nini campain ni kubwa sana tena globally!!!

Hizi pesa tunazotumia leo zitabadilishwa mapema sana ili kuanza kutumia sarafu ya Afrika Mashariki na kigezo mojawapo uwe umepokea chanjo ya Uviko ndo upate card mpya au ndo hiyo itakuwa Merged na system za benki duniani, maana ina taarifa zote za mtu.

Nawasilisha.
 
Naomba sana moderator msifute uzi wangu...maana mkishaona nyuzi za Chanjo mnaangalia sana content, Acheni watu wa flow
 
Mods acheni watu watoe ya moyoni kuhusu chanjo za uviko19, wa kuchanjwa waende wakachanjwe na wasiotaka kuchanjwa watapambana na hali zao
 
Siumwi
Sina mpango wa kwenda nje ya nchi
Sikopi Wala Sina mpango wa kukopa benki

Lakini Nina uhakika chakula ninacholima shambani kwangu mtakula, hivyo tafuteni hela ya kunipa
 
Siumwi
Sina mpango wa kwenda nje ya nchi
Sikopi Wala Sina mpango wa kukopa benki

Lakini Nina uhakika chakula ninacholima shambani kwangu mtakula, hivyo tafuteni hela ya kunipa
Hii ndo point, tujifunze kuwa independent lima chakula chako, uwe na nishati yako, maji yako nk utakuwa huru dhidi ya ufedhuli unaoendelea. Yaani jamaa wana kulea ili uwe dependent afu wana kuacha uishi mwenyewe, ukishindwa unapewa masharti usurvive
 
Dogo unataka kusema kuanzia mwakani hizi shilingi zetu za madafu hatutazitumia tena hata kununulia chips mbona kama vile unaharakisha sana kuunga dot
Tatizo lako unapenda sana tamthiliya, hito ilikuwa habari ya jana Azam News sio yangu, mimi kazi yangu kuunganisha dots kupata picha, wengi wanacheza na puzzle tu hawapati picha
 
Hiko kitu kinaitwa kuisujudia ile Sanamu. Unapiga goti unapokea unaruhusiwa kusafiri Na kufanya kazi zingine.
 
Aisee hii in Kali,naona dunia inaelekea kutia nanga sasa,ndipo kama kitabu cha ufunuo kinavyosema jua litashuka kiasi,hakuna atakaye pona.
 
Back
Top Bottom