chokambayaa
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 543
- 69
Hivi ni kwanini wanaume kibao wanapenda machanguodoa kuna nini huko jamani
na UKIMWI huu!!!!
na UKIMWI huu!!!!
Hivi ni kwanini wanaume kibao wanapenda machanguodoa kuna nini huko jamani
na UKIMWI huu!!!!
mmmmmhhhhh kwa kweli sijui ...
halafu sasa sio bure.......[/QUOT
HUachi siuseme ukweli
[/PHP]mmmmmhhhhh kwa kweli sijui ...
halafu sasa sio bure.......[/QUOT
HUachi siuseme ukweli
hey nilisikia unalipa ......
so i was just share wht i heared
Kamuulize Rooney wa Man U atkujibu vizuri
Changudoa ni yule anaekupa kwa bei yahasara
Mbona mimi kwa maoni yangu kule hakuna utamu?
ukiwa na demu wako unajiachia mpaka raha kwa changu
unafanya mapenzi ya wasiwasi kila mtu anamuogopa mwenzie
Changu anaogopa kuzulumiwa man anaaogopa kuibiwa
sasa kuna raha gani apo?
mapenzi kimtego mtego!!!!!