Changudoa Alipochelewa Kurudi Nyumbani

kilimasera

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
3,068
268
Mwanamke mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika ambaye hujulikana kwa kufanya biashara ya kujiuza asubuhi ya jana alikuwa kituko katika maeneo ya Biafra Kinondoni wakati alipoamua kujianika hadharani asubuhi akitafuta mteja.
Mwanamke huyo alikuwa kwenye kituo cha mabasi cha Kanisani ambapo alikuwa amevalia kingua kifupi kilichoshikana maalufu kwa "Kanyela Mmo". Aliwavuta watu wengi waliokuwa wakiendelea na kazi zao.

Mwana mama huyo wengi wanaomfahamu walisema kuwa hufanya baishara ya kujiuza Uchangudoa ambao umeshamiri katika jiji la Dar es Salaam katika maeneo mabalimbali hivyo alichelewa kutoka katika shughuli yake baada ya kuwa alikuwa amelewa sana kiasi cha kushindwa kujijua kama analitia aibu taifa.

Hata hivyo mama huyo aliyeonekana kutojali wala kustushwa na hali aliyo kuwa nayo baadhi ya akina mama waliokuwa na huruma walijalibu kumpa pesa ya kuchukulia taxi ili aweze kwenda kwake lakini pesa hiyo alikwenda kuinunulia pombe aina ya Kiloba Konyagi na sigara kisha kuanza kujiwekea mapozi kama yupo kwake.

Hakuna hata askari aliyeweza kuja wala hata mwananchi aliyeza kuwaita maaskari bali watu waliendelea tu kufurahia kitendo hicho cha aibu

Hivi sasa wasichana wengi wamekuwa wakifanya baishara ya ngono hadharani bila ya kujali sheria zilizowekwa, ukipita maeneo ya Sayansi eneo la Chuo cha Ustawi wa Jamii majira ya saa 3 jioni utawaona wasichan wadogo wakiwa katika makundi ya kutafuta wanaume, maeneo ya Leaders Kinondoni na Ohio ndio kazi inayofanywa na wasichana wa Kitanzania ambao wanapoulizwa kwanini wanajiuza hujibu kwa kuuliza "twende tukale wapi?".

Upande mwingine pia wavulana nao pia wamekuwa na desturi ya kujigeuza mashoga jambo ambalo ni ukenguaji wa maadili ya Kitanzania.

source na picha hapa
NIFAHAMISHE news in photos .: Habari na picha :.
 
ni dalili za maisha bora kwa kila mtz kwa mtazamo hasi
 
oya we kilimasera una undugu na charles sabi.na ye ana tabia kama yako ya kujijibu mwenyewe au ndo wewe?
 
huyo mama ni mentally retarded somehow ama ana frustrations na anaathirika na vilevi atuniavyo.wanaomfahamu wanasema aliwahi kuolewa na mzungu akamuacha na nyumba ambayo amepangishaa wapangaji lakini haishi vituko
 
Hii biashara itaisha tu endapo wanaume tutasusia! Hakuna kwenda huko waliko na hapo itakuwa mwisho wa storya. Kwa sasa hakuna wa kumlaumu kwa kuwa wote wanashiriki, wanawake wanatangulia na wanaume wanafuata!
 
huyo mama ni mentally retarded somehow ama ana frustrations na anaathirika na vilevi atuniavyo.wanaomfahamu wanasema aliwahi kuolewa na mzungu akamuacha na nyumba ambayo amepangishaa wapangaji lakini haishi vituko

.
Mkuu avatar yako inaweza kuchukuliwa kama mfano wa kuelezea kile kilichokuwa kikiendelea hapo kinondoni.
(nothing parsonal p/se)
.
 
ni aibu lakini nani wa kumgeuza moyo mwanadamu akishajiamulia kufanya atakalo
 
hahaaaaah hiyo hata mie huwa inanifurahisha sana

Back
Top Bottom