FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,045
- 40,705
Jana baada ya kupewa taarifa na mmoja wa wadau humu kwamba ujenzi wa Chang’ombe flyover umeshaanza nilishtuka kidogo, nikaona nifunge safari kwenda kushuhudia mwenyewe anachozungumzia kama ni kweli, maana sikuwahi kuona wala kusikia kwenye vyombo vya habari.
Sasa kwakuwa vyombo vya habari vimegoma kutuhabarisha juu ya kazi ya ujenzi wa hiyo flyover, nikaona hiyo kazi niifanye mimi.
Nilifika, na kweli nimekuta site ya upande mmoja imeshazungushiwa mabati na kazi imepamba moto, ila cha ajabu sasa, nikasahau kupiga picha.
Nadhani baada ya kukamilika kwa hii flyover, maendeleo yatakuja kwa kasi sana kutokana na watu kuepuka kupoteza muda na pesa nyingi kwenye foleni za ajabu ajabu,hasa zile za kutokea Kamata na Karume.