CHANGIA CHADEMA LIVE kupitia STAR TV: IJUMAA 23 Machi SAA 2 - 4 Usiku

Chadema naona kama pesa hamna sion matangazo wala mabango makubwa na vipeperushi wala media coverage kwenye tv na radio.tupo tayari kuchanga wekeni mpesa,tigo pesa etc tuchange pesa.binafsi nipo tayari kutua 1m kwa ajili ya ukombozi

imekaa kinafki hiii....!!!!
 
Muda wowote salio langu kwenye simu nitawatumia muda wowote wakitaka au kama wanataka watuambiye tuwapeleke pale kwenye ofisi zao !
 
Wazo zuri. Kampeni za Chadema zimepoa sana

Hahahahaha mmeshapata idea ya kupiga hela mara hii? ? Kwa kupitia migongo ya wananchi. Jamani waoneeni huruma wananchi wameshapigika sana na mimi mmojawapo mpaka tumefilisika. Hela hatuzioni zimefamya kazi gani jamani hatujaambiwa hata kiduchu. Halafu muanzishe lingine? ? Aaaaah!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom