Change Tanzania to one Goverment in whole Country or hell | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Change Tanzania to one Goverment in whole Country or hell

Discussion in 'International Forum' started by Democracy999, Jul 21, 2012.

 1. Democracy999

  Democracy999 JF-Expert Member

  #1
  Jul 21, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 947
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  I just list the 3 Problems caused by two Goverments in un decided and separated responsibilities of who is who incharge: The Boat that Killed hundreds of Tanzania including Foreigners, was refused to be operative in Dar by State agency but the they went to get a License in Zanzibar in heaven of evil; Iranian Ships registered in Zanzibar secretly without involving the State government of Tanzania; Uamsho Islamist that slowly is starting attacks on Churches, Christians and Security Officers as of yesterday many Police officers were attacked and undressed by the Islamist Awakening and separatist movements which openly supported by most un clean and corrupt Zanzibari in government. Lets save ourself now or never, by implementing a one government in all Tanzania
   
 2. N

  Nonda JF-Expert Member

  #2
  Jul 31, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,960
  Trophy Points: 280
 3. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #3
  Jul 31, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  We have this options; Option I: (1) One president for United Republic of Tanzani (1a) Prime Minister for Tanzania Mainland (1b) Prime Minister for Tanzania Islands. Option II: Kutumia nguvu na kutengeneza serikali za Majimbo's with one President of United Repulic of Tanzania under one Constitution. Option two siyo nzuri sana ila itatufanya tukae muda mrefu bila chokochoko za kipuuzi with an agreement of compensating Zanzibar for any deficiency in terms of development and other majimbo yenye rasilimali nyingi lakini hayajaendelea.
   
 4. N

  Nonda JF-Expert Member

  #4
  Jul 31, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,960
  Trophy Points: 280
  Mkuu
  Ningekushauri usome vizuri historia ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (Tanzania). Ni muungano wa baadhi ya mambo, mambo hayo yanaitwa mambo ya muungano.plus usanii au mazingaombwe.

  Lakini vipi tutapata one constitution wakati CCM ambayo ndiyo Chama dola wana sera ya muungano wa serikali mbili?

  Je umeisoma hiyo makala katika post #2?

  Anyway, kuna usanii wa Katiba mpya unafanyika (mchakato unaendelea ambao mwishoni utaleta Katiba mpya ya Muungano). Maana yake kuna pande mbili, Tanzania mainland(bara/ Tanganyika) na Tanzania Islands (Mafia, Ukerewe na Zanzibar). Ili kupata Katiba Mpya ya Muungano, huenda ikaitishwa kura ili kuipitisha rasimu hiyo kwa kila upande. Sasa baada ya UAMSHO kutoa uamsho huko visiwani, unafikiri Katiba ambayo unaipendekeza itapatikana kweli?

  Niliwahi kutanabahisha hili kupitia hapa: link https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/299649-kikwete-aendelee-muhula-mwingine-3.html#post4337730
   
 5. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #5
  Jul 31, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Kwa maslahi ya nchi, muungano lazima ulindwe kwa ghrama yeyote ile ikiwezekana Zanzibar iwe mkoa mmoja katika nchi ya Tanzania. Hatuwezi kuwaachia wakaenda zao watatusumbua zaidi huko mbeleni.
   
 6. N

  Nonda JF-Expert Member

  #6
  Aug 1, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,960
  Trophy Points: 280
  Hapa unamaanisha nchi ipi? Au maslahi ya nchi ipi?

  Gharama za kuulinda muungano wa kimjini mjini ni kubwa na pia itatoa mwanya kwa nchi nafiki za US na Ulaya kuja na "humanitarian war" yao.

  Ni vyema kuendelea na kampeni ya Let Zanzibar go!

  Zanzibar haitakuwa tishio kwa maslahi na usalama wa Tanganyika ukitilia maanani kuwa kuna EAC federation inakuja na Zanzibar atakuwa mbia/mwanachama huko.
   
 7. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #7
  Aug 8, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  .... or hell, what the hell
   
Loading...