Changamoto za mwanamume kwenda kukaa nyumbani kwa wazazi wa mkewe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Changamoto za mwanamume kwenda kukaa nyumbani kwa wazazi wa mkewe

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Kiranja Mkuu, Jun 27, 2011.

 1. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mwenzetu alipata misukusuko kazini yapata miezi nane iliyopita.
  Ameyumba na sasa amefukuzwa kwenye nyumba aliyokuwa akiishi.
  Wazazi wa mke wake wapo hapa Dsm na sasa wanamtaka mkwe wao akaishi nao nyumba moja.
  Ungekuwa wewe ungefanyeje?
   
 2. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,353
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Kama ni watulivu na wana moyo wa upendo nitaenda la sivyo bora nikakae kwenye nyumba ya udongo kwa muda!
   
 3. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Yakikukuta ndo utatia akili lakini kwa kufikirika kila mtu atakuwa na majibu ya kijasiri
   
 4. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #4
  Jun 28, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,144
  Trophy Points: 280
  Kwani kuna tatizo lipi wakati wa shida wazazi wa mkeo wakikusaidia?
   
 5. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #5
  Jun 28, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,090
  Likes Received: 6,557
  Trophy Points: 280
  Mi naona ni sawa na wazazi wako tu, ila usikae muda mrefu jitahi sana baada ya muda mfupi uhame.
   
 6. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #6
  Jun 30, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Binafsi ningehamisha famili yangu yote kwenda kwa wakwe lakini mimi mwenyewe ningetafuta mshikaji aliye single(rafiki wa kiume) ili anipe hifadhi ili niweke mambo sawa haraka. Wazo la kwenda kuishi kwa wakwe sio baya kama utaishi sio zaidi ya siku3 kinyume na hapo utadharaulika sana.
   
 7. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #7
  Jul 2, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,479
  Likes Received: 12,757
  Trophy Points: 280
  aisee inatisha unaweza kupigishwa dekki mzee mzima
  ila inategeme HUYO mkeo na wewe na wakwe zako mna mahusiano makubwa kiasi gani
  lool la sihivyo utajuta kuzaliwa wa kiume walahi
   
 8. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #8
  Jul 2, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,321
  Likes Received: 22,164
  Trophy Points: 280
  Baba mkwe utashangaa siku moja anakwambia wewe kila siku unamgonya mwanangu, leo zamu yako, vinginevyo toka kwangu sasa hivi. Si unawajua madingi wakoloni?
   
 9. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #9
  Jul 2, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,479
  Likes Received: 12,757
  Trophy Points: 280
  tehehe bujiii umenichekesha
   
Loading...