Changamoto za mahusiano

Zogoo da khama

JF-Expert Member
May 20, 2013
622
582
Waungwana khali zenu,
Leo nakuja na maada ambayo inaigusa jamii hasa ya waliokwenye mahusiano
(kwa maana ya mapenzi) mjadala huu umetawala hisia za wengi na hata Toleo la juzi la RAIA Mwema Toleo Na:330 ukurasa wa 18 kwenye Kona ya Privatus Karugendo nimeikuta .
Kwa kifupi ni changamoto za ndoa, Mahusiano.
Tata Madiba heshima yake ilipanda juu zaidi baada ya kujitokeza kama mtu mwenye kusamehe na kusahau.
Mfano,
Aliwasamehe waliomfunga na kumtesa kwa kipindi cha miaka 27, aliwasamehe wale walioendesha mauaji ya waafrika wa Soweto, watoto wa Soweto waliotetea haki zao za msingi.
Sasa swala au mada yetu kuu ambayo ningependa tuijadili katika jukwaa letu ni “ kwanini Madiba aliwasamehe watu wote hadi wauaji, akashindwa kumsamehe mke wake Winnie? Winnie alifanya kosa gani kubwa kiasi cha kutopata msamaha? Na Je ingelikuwa ni wewe ungefanyaje?
Haya mambo yanatokea katika jamii zetu, mfano hai, kuna mwanamuziki mmoja alipokuwa kwenye kambi ya BSS mkewe wa ndoa alimsaliti na kibaya zaidi alikuwa mjamzito, jamaa alimsamehe mapenzi yakaendelea, haya sasa tuanze mjadala wetu, Je!! Mume/Mke ukisalitiwa na mwenza wako uko tayari kusamehe na maisha yakaendelea? karibuni
 
Kusalitiwa ni kitu kingne aisee,mambo mengine ni rahisi kusameheka ila usaliti hasa kwa wanaume ni kitendawili wenzetu wanawake unaweza ukamsaliti na ukamuomba msamaha akakuelewa na akasahau siyo sisi wanaume sijui tumeumbwaje kumsamehe mwanamke aliyekusalti ni kazi ngumu sana,ila ninachojua mimi alimsamehe ila hakurudiana naye
 
Ngumu kuongelea msamaha wa mapenzi ya watu, labda mhusika iwe wewe mwenyewe. Wanaweza kuwa walisameheana na wakawa wanapeana mizigo kisiri siri, nani anajua.

Ngumu sana kuongelea ugomvi wa wapenzi kama huhusiki.
 
Mie hata nikifumania live nasamehe bila kinyongo..
...kwani mwanamke nipo peke yangu banah,akijisikia kubadilisha diet aende tuu..
...na ntaendelea kuishi nae kiroho safi....
....mapenzi ya Madiba(R.I.P) na Winnie hatuyajui kwa undani..kwani huyo mwanamke alishawahi kujitokeza hadharani na kulalamika kuhusu hilo jambo??
 
Mie hata nikifumania live nasamehe bila kinyongo.. ...kwani mwanamke nipo peke yangu banah,akijisikia kubadilisha diet aende tuu.. ...na ntaendelea kuishi nae kiroho safi.... ....mapenzi ya Madiba(R.I.P) na Winnie hatuyajui kwa undani..kwani huyo mwanamke alishawahi kujitokeza hadharani na kulalamika kuhusu hilo jambo??
i had my man mpaka nliamua mwnyw kumuacha. Alikua ananiambia hata akute nagegedwa, atachomoa mwenzie naye ataweka. Cjawah kukutana na mwanaume wa vile. Ila me nlipohc usaliti nlijivua gamba. Usalit unauma, me cwez kusamehe
 
Mie hata nikifumania live nasamehe bila kinyongo..
...kwani mwanamke nipo peke yangu banah,akijisikia kubadilisha diet aende tuu..
...na ntaendelea kuishi nae kiroho safi....
  • Na hili la kuletewa magonjwa unalizungumziaje Jawilat
 
Last edited by a moderator:
kumsamehe haimaanishi lazima umrudie unaweza kusamehe ila kila mtu na maisha yake
 
  • Na hili la kuletewa magonjwa unalizungumziaje Jawilat

nilihaidi kumvumilia kwenye tabu na raha,uzima na ugonjwa..akiamua kuniua nitamshukuru Mungu kwa kuwa ndiye mwanaume niliemchagua mwenyewe..
 
Last edited by a moderator:
i had my man mpaka nliamua mwnyw kumuacha. Alikua ananiambia hata akute nagegedwa, atachomoa mwenzie naye ataweka. Cjawah kukutana na mwanaume wa vile. Ila me nlipohc usaliti nlijivua gamba. Usalit unauma, me cwez kusamehe

kila kitu kinauma kwa jinsi unavyokichukulia,
 
Back
Top Bottom