Changamoto za madereva na abiria wa Uber na Bolt. Tupia yako

Hii nimeiona sehemu,

Nilipaki gari mahali fulani ili nijipatie chochote kitu mchana akanifuata jamaa mmoja anaendesha IST akaziangalia tairi zangu akasema "kaka hii size 14 rim?" Nikamjibu "ndiyo" Akasema "nipe hela nikuvulie zangu bado mpya kabisa" Daah nikamuuliza kwanini unataka ziuza akasema "sister mwenye hii gari ana kelele sana ms....e yule" Nikamuuliza kivipi? Akajibu "ana dharau sana kwetu madereva, ananiona km kinyesi yaani kila saa gari yangu gari yangu"

Hakujua namtega nikamwambia nataka compressor ya AC akasema niliuza jana nikamfungia mbovu. Gari namba D eti haina AC mimi namba C lakini AC ni mpya. Nikamuuliza nini kingine unauza akajibu Gear box na engine 😂😂😂 yaani hapo ndipo niliposema hapana aisee hawa wapuuzi wanawaharibia magari. Unampa gari jipya anakurudishia kimeo.

Ukiulizwa yote nini unaona ukilileta nikusaidie kulisimamia nitapata sana hela kwa mgongo wako. Raisi Jakaya Kikwete aliwahi kusema namnukuu "Huwezi kula bila kuliwa kidogo" Lakini ukiwa mjinga utaliwa ili kufilisiwa na si kuendelea. Katika biashara huwezi kutaka upate wewe tu kila siku. Ndio maana wachaga wanawazidi sana akili watu wa bara. Wasambaa nao siku hizi wanachipukia vizuri.

Mchanga akikaa dukani kwako kuuza duka mpe miaka 2 au hata mmoja tu anafungua duka lake na linaweza kuwa kubwa kuzidi lako analokuuzia. Hao ni wachaga nikisema nikuchambulie kuhusu mentality ya wachina utashangaa sana. Sasa madereva uber wengi ni watu wa Bara akili zao zimezoea utumwa hawajui kuanzia sifuri. Ukimpa duka auze baada ya miezi 6- mwaka utakuta amehonga wanawake kila kitu dukani.

Madereva uber ukiwapa gari hawafanyi kazi wanalitumia kutongozea mademu na kulala nao ndio sababu hawawezi kufikisha hesabu kamwe. Ndiyo sababu siku zote hawana mafuta kwenye gari ukipanda gari iko empty taa inawaka. Hawana akili ya kujua kuwa kutembea na gari empty tank ni kuiua pump ya mafuta ya gari hiyo.

Nimejiwekea utaratibu wa kuwadhibiti madereva hawa wajinga wasiojua kupewa mtaji wa gari na wakauheshimu. Huu utaratibu siwezi kuuweka bayana lakini madereva wote wasanii na majizi huukataa kusign sababu una kitanzi shingoni. Na mimi sina huruma na dereva mpumbavu. Kama una gari usilitoe kiholela.
 
Kuna pisi kali moja huwa unaenda sana kunitafuta niwe nampeleka mizunguko yake nje ya uber akitegemea nimtongoze anipe tunda la kimashara sema mie niko na mke ambae nampenda na ni pisi kali zaidi yake yeye.
 
Boss huu utaratibu ungeshare hata inbox itakuwa msaada kwa tulitoa magari kwa madereva
Hii nimeiona sehemu,

Nilipaki gari mahali fulani ili nijipatie chochote kitu mchana akanifuata jamaa mmoja anaendesha IST akaziangalia tairi zangu akasema "kaka hii size 14 rim?" Nikamjibu "ndiyo" Akasema "nipe hela nikuvulie zangu bado mpya kabisa" Daah nikamuuliza kwanini unataka ziuza akasema "sister mwenye hii gari ana kelele sana ms....e yule" Nikamuuliza kivipi? Akajibu "ana dharau sana kwetu madereva, ananiona km kinyesi yaani kila saa gari yangu gari yangu"

Hakujua namtega nikamwambia nataka compressor ya AC akasema niliuza jana nikamfungia mbovu. Gari namba D eti haina AC mimi namba C lakini AC ni mpya. Nikamuuliza nini kingine unauza akajibu Gear box na engine yaani hapo ndipo niliposema hapana aisee hawa wapuuzi wanawaharibia magari. Unampa gari jipya anakurudishia kimeo.

Ukiulizwa yote nini unaona ukilileta nikusaidie kulisimamia nitapata sana hela kwa mgongo wako. Raisi Jakaya Kikwete aliwahi kusema namnukuu "Huwezi kula bila kuliwa kidogo" Lakini ukiwa mjinga utaliwa ili kufilisiwa na si kuendelea. Katika biashara huwezi kutaka upate wewe tu kila siku. Ndio maana wachaga wanawazidi sana akili watu wa bara. Wasambaa nao siku hizi wanachipukia vizuri.

Mchanga akikaa dukani kwako kuuza duka mpe miaka 2 au hata mmoja tu anafungua duka lake na linaweza kuwa kubwa kuzidi lako analokuuzia. Hao ni wachaga nikisema nikuchambulie kuhusu mentality ya wachina utashangaa sana. Sasa madereva uber wengi ni watu wa Bara akili zao zimezoea utumwa hawajui kuanzia sifuri. Ukimpa duka auze baada ya miezi 6- mwaka utakuta amehonga wanawake kila kitu dukani.

Madereva uber ukiwapa gari hawafanyi kazi wanalitumia kutongozea mademu na kulala nao ndio sababu hawawezi kufikisha hesabu kamwe. Ndiyo sababu siku zote hawana mafuta kwenye gari ukipanda gari iko empty taa inawaka. Hawana akili ya kujua kuwa kutembea na gari empty tank ni kuiua pump ya mafuta ya gari hiyo.

Nimejiwekea utaratibu wa kuwadhibiti madereva hawa wajinga wasiojua kupewa mtaji wa gari na wakauheshimu. Huu utaratibu siwezi kuuweka bayana lakini madereva wote wasanii na majizi huukataa kusign sababu una kitanzi shingoni. Na mimi sina huruma na dereva mpumbavu. Kama una gari usilitoe kiholela.
 
Jamaa amekomaa eti kwangu pale chini, na weñzako mbona wananifikisha kila siku. Yaani mimi siendi maana ni mwendo wa kukwamishana.
 
Attachments

  • 20210309_163209.jpg
    20210309_163209.jpg
    35.2 KB · Views: 50
Habari za leo wanajamvii, natumai wote mko salama. Kuna vituko na visa vingi tunapitia kama abiria na madereva wa taxi mtandao yaani huduma za uber, bolt na nyinginezo. Hebu tutoeni ushuhuda wa matukio mbali mbali yaliyowahi kutupata na kutufurahisha ama kutukasorisha.

Hii ilitokea kama dereva, abiria wa bolt jinga saana, Kani reaquest Tank Bovu nafika pale ananiambia ingiza Gari ndani, naingia wanaleta bonge la sufufia limejaa mtori, eti kaka fungua buti wapakie, hata kwa IST halikai kaka laza siti. Anatoka mwingine, anamwambia ni pale kawe imesoma 2000.

Daah, hebu tuchangie uzi maana wengi wetu yanatugusa.
Kuna App za wazawa kama TANTAXI ambazo ziko vizuri sana na zingeleta mabadiliko ila watu wamekariri uber na Bolt. Uwekezaji pia lazima utazame wawekezaji wa ndani ambao gharama zao za uendeshaji sio kubwa kivile kiasi haitowalazimu kuweka kamisheni kubwa kama ilivyo kwa Bolt na Uber: TanTaxi Passenger - Apps on Google Play. Hii TanTaxi haikati kamisheni kwa sasa na wamedhamiria kutovuka asilimia 10%. Abiria anafaidika na dereva anafaidika na kupata moyo wa kutoka huduma nzuri.
 
Back
Top Bottom