kifinga
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 5,249
- 9,499
si unataka hela acha uoga si unatamani kulala kwenye gorofa na ku drive v8 mkuu haya magorofa usitamani yana siri nyingiMkuu wewe siyo mtu mzuri aisee...
Umenipa hiyo namba hapo nimejaribu tu kui save kwenye simu, kui-check WhatsApp nikakutana na profile picture ya Machatu mawili hapo hapo nikaifuta na namba maana inaonekana ni uchawi mtupu