wickerman
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 408
- 247
Habari Wakuu,
Binafsi kwenye swala la kubadilisha fedha za kigeni lilikua lina nichanganyaga kujua Zile Rates zina ku-affect vp. Sell rate inatumika muda gani na Buy Rate inatumika muda gani. Ila baadae nilielewa.
Wewe huwa unapataga changamoto gani unapotaka kubadilisha fedha za kigeni kwenye Bureau/Bank. Au kulipia kitu online kwa foreign currency ukiwa Tanzania?