kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 19,011
- 11,942
Namba 2 hapo pameonyesha wewe ni mchafu by nature,huwezi kuta sehemu chafu ukaiacha hivyo hivyo na kuitumia, ustaarabu ni kusafisha kwanza ndipo utumieWakuu!
Binasfi mimi hivi vyoo vya kukaa, huwa sivielewi kabisa, juzi niliingia kwenye ofisi fulani hivi, sasa tumbo likanishika, daaaah kuingia Toi, nakuta choo cha kukaa,
Aisee, honestly nilipata shida sana kukitumia, ilinichukua kama dk 5, ndio nikapata position nzuri ya kuachia mizigo, ila sio position ya kukaa.
Sikupenda nikae kabisa pale kwenye sink, Kwa sababu
1. Ule ubaridi wa pale juu ya sink
2. Mikojo iliyopo juu ya lile sink,
3. Halafu hau enjoy kabisa, yani unaona kama utajinyea vile. Yani shida tupu.
Hivi vyoo, sio salama kabisa kiafya: