Changamoto za choo cha kukaa na jinsi ya kukabiliana nazo

Watanzania jamani sijui nani katuloga. Yani huwa hatujui kujenga hoja kabisa. Mtoa post kajieleza yeye namna alivyopata changamoto ya kutumia choo cha kukaa. Cha kushangaza wengi mmegeuza mada na kumkejeli. Kama lengo ni kumtahadharisha kuhusu umuhimu wa choo cha kukaa, haina maana mfute au kubeza alichoeleza maana bado alichosema kina mashiko. Ipo hivi:

Kila choo kiwe cha kukaa ama cha kuchutama, kina faida na hasara zake. Tuanze na choo cha kukaa.

Ni rahisi kukitumia kwa maana ya ukaaji.Ndiyo maana wengi wanavipenda bila ya kujali wana shida za kiafya ama maumbile. Siku hizi watu wengi ni wazito kupindukia na hawafanyi mazoezi, basi vyoo hivi ni rafiki kwao. Pia, kwa makundi maalumu ya watu kama wajawazito, wazee, wenye aina fulani za ulemavu n.k., vyoo hivi ni rafiki sana.

TAHADHARI
Kwa asili yake, vyoo vya kukaa vinalenga matumizi ya watu wachache, mathalani, kwenye familia zile za kizungu, baba, mama na watoto wao wawili. Na si ajabu baba na mama wakawa na choo chao na watoto wakawa na chao.

Kama ulikuwa hujui, utakuwa unakosea sana kuweka tako lako mahali ambapo watu kumi au ishirini au zaidi walishaweka matako yao kwa siku hiyo bila ya usafi wa maana. Hapa unajiweka mazingira ya kupata magonjwa bila sababu. Kama unaweza kuepuka, achana na vyoo hivi hasa ukishahisi vinatumika na wengi. Hapa hujazungumzia ustaarabu ambapo wengi hatuna. Unakuta ringi ya kukalia fulu mikojo,fulu maji ya kuchambia.Pathetic!

Aidha, vyoo vya kukaa, haviendani na maumbile yetu,binadamu. Ndiyo maana vimeshatajwa kuchangia ongezeko la maradhi ya kuvimba vinyama(piles/hemorrhoids) njia ya haja kubwa. Ule mkao unasababisha utumbo na njia ya haja kubwa kukaa vibaya na mwishowe kusababisha maradhi hayo.

Ama kuhusu vyoo vya kuchutama, hivi ndivyo vinaendana na maumbile ya binadamu. Kwa asili binadamu amekuwa akijisaidia,hasa haja kubwa kwa kuchuchumaa. Ukitumia vyoo hivi utaepuka mengi yaliyotajwa hapo juu. Hili halifichiki, maana hata kusukuma haja kubwa kunakuwa rahisi ukichuchumaa kuliko kukaa. Sioni haja ya kurudia hapa maana faida zipo wazi. Cha kufanya ni kulinganisha tu. Mfano, ni wazi choo cha kuchutama ni changamoto kwa wenye uzito wa kupindukia, wenye changamoto maalumu za kiafya ama maumbile n.k.

Linapokuja suala la maambukizi, vyoo hivi vya kukaa ni chaguo mujarab.Hata jamii ya kike,kwa sababu za kimaumbile wanaaswa sana kutumia vyoo vya kuchutama.

Kwakumalizia, hii ni yangu binafsi si lazima iwe kwako. Ninapenda choo cha kuchuchumaa hasa nikiwa na mpenzi wangu,napenda akijisaidia hasa haja ndogo nione kirahisi vile mkojo unamwaika kama kinyunyizi mrashi(sprinkler). Mimi nikiona hivyo ninaridhika sana.

Ninawasilisha
 
Kwakumalizia, hii ni yangu binafsi si lazima iwe kwako. Ninapenda choo cha kuchuchumaa hasa nikiwa na mpenzi wangu,napenda akijisaidia hasa haja ndogo nione kirahisi vile mkojo unamwaika kama kinyunyizi mrashi(sprinkler). Mimi nikiona hivyo ninaridhika sana.
...πŸ™„πŸ™„πŸ™„...?
 
Wakuu!

Binasfi mimi hivi vyoo vya kukaa, huwa sivielewi kabisa, juzi niliingia kwenye ofisi fulani hivi, sasa tumbo likanishika, daaaah kuingia Toi, nakuta choo cha kukaa,

Aisee, honestly nilipata shida sana kukitumia, ilinichukua kama dk 5, ndio nikapata position nzuri ya kuachia mizigo, ila sio position ya kukaa.

Sikupenda nikae kabisa pale kwenye sink, Kwa sababu

1. Ule ubaridi wa pale juu ya sink
2. Mikojo iliyopo juu ya lile sink,
3. Halafu hau enjoy kabisa, yani unaona kama utajinyea vile. Yani shida tupu.

Hivi vyoo, sio salama kabisa kiafya:
Mkuu kujifunza kutumia kitu chochote kipya kwa kila mtu kuna changamoto zake!

Kama wewe ni dereva, unakumbuka siku ya kwanza ulivyobabaika kushika sukani, je leo hii hujishangai kwamba kilichokuwa kinakutia kiwewe na tumbo joto ni kitu gani?

Choo cha kukaa kina faida nyingi sana kuliko cha kuchuchumaa.

Kwanza kinazuia sauti ya milipuko kusikika nje hata kama mtumiaji unaumwa tumbo la kuhara.

Unaweza ukajisaidia huku unafanya mambo mengine ya maendeleo, maana hakiumizi magoti kwa ajili ya kujibeba.

Sema changamoto zilizopo hapo hasa kwa waswahili ni usafi, mtu akimaliza 'kutaga' kamaliza haja zake hakumbuki usafi, anaflush bila kukagua anaondoka zake!

Kumbe vyoo hivyo ukiisha kujitwadha, ukaflush unatakiwa kukagua ili aidha uflush tena kumalizia mabaki ama utumie brush kumalizia ving'ang'anizi na toilet paper kukausha majimaji yaliyotapakaa eneo la kukalia ili ukiache kikavu na anapoingia mtumiaji mwingine asisikie vibaya ama kuona tofauti.

Kwa kweli kukijenga kwenye public za uswahilini kuna changamoto kubwa, watu wengi si wastaarabu kwa kujua ama kutojua!

Embu jaribu kukiweka master'ni kwako uone utakavyo enjoy maisha!

Mkuu nadhani unaandika mada hii ukiwa ni kijana, misuli ya miguu haijaanza kukusumbua, utafika umri flani hadi utashangaa kwanini ulitoa thread kama hii, maana utajakuwa teja wa moja kwa moja wa vyoo vya kukaa na utavipenda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom