Wakuu profile yangu kabla sijaweka pasport size ilikuwa inasoma 95%. Hivi sasa tayari nimeweka passport size na imekubali ila cha ajabu bado asilimia hazijaongezeka.

Naomba kwa anayejua anisaide nifanyeje ili asilimia zisome 100% wakuu. Asanteni.
Jaza vipengele vyote itafika 100%. Wengi hawana Cha kujaza sehemu ya professional qualification kwaiyo haiwezi kufika 100%. Mind you, asilimia za profile si kigezo Cha kuitwa kwenye usaili. Muhimu ni kujaza zile TAARIFA muhimu na kufuatà maelekezo yote.

Kila la kheri
 
Back
Top Bottom